Watu 13 wanahofiwa kufariki dunia huku wengine 14 wakiokolewa baada ya mitumbwi miwili kuzama ndani ya Ziwa Victoria wakati wakitoka kusali ibada ya Jumapili Kijiji cha Ichigondo Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Akizungumza kwa simu na Mwananchi leo Jumatatu Julai 31, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Bunda,...
Monday, 31 July 2023
AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA KWA KUMUUA MWANAFUNZI UDOM

MAHAKAMA kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu Idris Mwakabola kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumnyonga Happiness Mbonde, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Mwakabola alifikia uamuzi wa kumuua mpenzi wake huyo kwa kuhisi ana uhusiano...
WAZAZI NA WALEZI WAHIMIZWA KUTOWAFICHA WATOTO WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (wa pili kushoto) akishiriki chakula cha pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanga Viziwi Mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro Mhe. Abdallah Mwaipaya (aliyesimama) akifafanua...
MKE WANGU KABADILIKA SANA BAADA YA KUJIFUNGUA

Ndoa yeyote bila ya kuwa na mapenzi ya kweli hukumbwa na misukusuko ya kila aina wakati wowote ule, ni jukumu la kila muhusika katika ndoa kuhakikisha kwamba mapenzi yanazidi kudumu.
Tuliishi na mke wangu kwa amani na upendo, kwa hakika tuliaminiana sana hadi mke wangu alipopata mtoto wa pili katika...
Sunday, 30 July 2023
GGML YATOA MSAADA WA MADAWATI 8,823 MKOANI GEITA

Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong (kulia) akimkabidhi Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigela baadhi ya madawati hayo. Kushoto kwa mkuu huyo wa mkoa ni Mkuu wa wilaya ya Geita, Cornel Maghembe.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong, Mkuu wa mkoa wa Geita, Martin Shigela baadhi ya viongozi...
ORYX GAS YATOA MITUNGI 500, MAJIKO YAKE KWA MAMA LISHE ILEMELA
.jpeg)
Meneja Masoko wa Kampuni ya Oryx Gas Tanzania Peter Ndomba akitoa elimu ya matumizi salama ya mtungi wa gesi ya Oryx kabla ya mitungi hiyo kukabidhiwa kwa wanawake wajasiriamali wilayani Ilemela mkoani Mwanza.
***************
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Oryx Gas...