Sunday, 14 August 2022

MZIGO MPYAA!! KARIBU NNIENET TUNAZO NGUO ZA NDANI NZURI SANA....HEBU TAZAMA HAPA

Karibu katika duka la NNIENET Under Wear !

Tunauza nguo za ndani kutoka Uturuki; rika zote wanaume, wanawake na watoto

Tunazo Chupi, Boxer, Vest, Night dress, Brazia, Mikoba, perfume aina zote oil/alcohol, socks,tight ndefu na fupi, stockings aina zote, mikanda ya suruali kiume pure leather. Wallet za wanaume na wanawake, Belly wrap na corsets zote zinapatikana.


Simu: 0766062899/ 0757290980
Tupo Uhuru Road - Shinyanga Mjini kwenye Zebra jirani na Uwanja wa SHYCOM/ Kanisa Katoliki Mjini Shinyanga


Share:

KIMAMBO FASHION NDIYO HABARI YA MJINI!! NGUO BORA KWA BEI NAFUU 0762 656 192


Karibu Kimambo Fashion kwa nguo nzuri zenye ubora wa kiwango cha juu kwa gharama nafuu kabisa!! Duka la Nguo la Kimambo Fashion lipo Soko Kuu Shinyanga mkabala na Duka la Shirima.

Kimambo Fashion 'Quality Brand' :  Jeans, T - shirt, shirt, socks, belt,boxers, shoes.

Tupigie 0762 656 192

Share:

BROTHERHOOD SURVEY SERVICES CO. LTD WAMEACHIA TENA VIWANJA!! CHUKUA KIWANJA CHAKO KIPO BEI SAWA NA BURE KABISA!


 Ni Ofa Kabambe !!🔥🔥🔥🔥 Sasa unaweza kulipia kidogo kidogo hadi miezi 12. Ndiyo!! ni miezi 12 yaani  mwaka mzima bila dhamana yoyote 👊🏽👊🏽👊🏽 
Ni sisi Brotherhood Survey Services Company Ltd - Shinyanga!!

🔥Tunakuletea mradi wa Viwanja uliopo Manispaa ya Shinyanga, eneo la Mwalugoye na Ibadakuli. Viwanja ni vya Makazi na Biashara.

Muhimu zaidi;
✅Viwanja vyote vimepimwa na kuidhinisha na Mamlaka zote kwa kuzingatia sheria na taratibu za Nchi.

✅Viwanja vyote vina Namba na vina sifa ya kupata Hati
✅Viwanja vyote vimeshachongewa barabara za mitaa
✅Viwanja vyote vina alama muhimu(beacons) zinazotenganisha kiwanja kimoja na kingine.

Huduma zilizopo;
✅Maji
✅Barabara
✅Umeme
✅Shule
✅Huduma za Afya

Miundombinu iliyo karibu na Mradi inayoongeza thamani ya eneo
✅Ujenzi wa Stendi kuu ya Mkoa (Ibadakuli)
✅Ujenzi wa Reli ya Mwendokazi (Mwalugoye)

Bei zetu;
👌Amini usiamini, viwanja vinauzwa sawa na bure,
➡️Ibadakuli kuanzia Tsh 1,400/= cash kwa square meter moja. Installment(kulipa kidogo kidogo) yaani unatanguliza 30% alafu inayobaki unalipa kidogokidogo hadi miezi Kumi na Mbili (12)

 ➡️Mwalugoye ni Tsh 2,500/= kwa square meter moja, hii ni pamoja na Hati ambayo utaipata ndani ya Mwezi mmoja. Kulipa Kidogo kidogo (installment) ni mpaka miezi sita(6)

Zingatia;
➡️ukilipia unakabidhiwa mkataba uliosainiwa kisheria na kwa Mwalugoye bei hio inajumuisha na hati ya Kiwanja yenye jina lako.

Ofa zetu;
✅Ushauri wa masuala ya umiliki wa Ardhi ni bure
✅Usafiri kwenda (na kurudi) site kuona viwanja ni bure
✅Kulipia kidogo kidogo kwa kuwekeza
✅Ufuatiliaji wa Hati Miliki


🔥 Tunachora ramani za majengo yaani Architectural design ikiwa ni pamoja na kufanya makadirio ya gharama za ujenzi kwa ramani tuliyokuchorea sisi au ramani utakayokuja nayo.

📞Wasiliana nasi kwa simu
🤳0677000027
🤳0677000028

Tuandikie kwa Email: 
📧 info@brotherhoodsurveyservices.com

🚶🏾Au fika ofisini kwetu Shinyanga 
Jengo la NSSSF Mpya - Barabara kuu ya Mwanza
Ghorofa Na 1, upande wa Kushoto.

🔥Kumbuka, kiwanja chako bado kipo, na UJANJA NI KIWANJA

💪🏿BROTHERHOOD SURVEY SERVICES, 
     ...serves beyond your expectations...


Share:

NEY FASHION CLASSIC WEAR NI KITUO CHA NGUO ZOTE KALI UNAZOPENDA...KARIBU DUKANI KWETU


Je? unahitaji nguo nzuri , bora na imara kwa gharama nafuu!! Basi usisumbuke tena kwenda hapa na pale kusaka pamba kali! 

Njoo Ney Fashion Classic Wear kwa nguo aina zote kwa watu wakubwa na wadogo,kwa jinsi zote kike na kiume.


Duka la Ney Fashion Classic wear lipo Shinyanga mjini Stendi ya zamani njia ya kwenda Mnara wa Voda mkabala na Malecos Hotel..kwa mawasiliano zaidi piga 👉🏿 +255 768 887 482


"Ney Fashion Classic wear for classic people"

Karibu sana upendeze nasi.
Share:

Saturday, 13 August 2022

BINTI MDOGO AWANYOOSHA WAKONGWE WA SIASA...ASHINDA UBUNGE KENYA


Kutoka kijiji cha mbali cha Chemomul, kaunti ya Bomet, kutana na Linet chepkorir ‘Toto’, mwenye umri wa miaka 24 ambaye amepata kura 242,775 na kuwapiku wagombea wengine nane aliokuwa akishinda nao kwenye uchaguzi wa nchini Kenya.

Baadhi ya aliowapiku ni wanasiasa wenye uzoefu mkubwa.
Baba yake akimsaidia kunywa kinywaji cha kienyeji kinachojulikana kama ‘mursik’ kilichotengenezwa kwa maziwa ya siki na mkaa wa kitamaduni unaotumiwa kama ishara ya sherehe.


Linet chepkorir ‘Toto’, anakuwa Mwanamke mwenye umri mdogo zaidi kuwa mwakilishi Bungeni.

Hii ni kazi yake ya kwanza kabisa, Anatoka katika familia yenye uwezo wa hali chini, akiwa ni mtoto wa tatu kwa Bwana Richard langat na mkewe Bety langat.
Linet anasema ilikuwa ngumu kupambana dhidi ya washindani wenye mifuko mirefu, anakadiria kutumia kiasi cha shilingi ya kenya100,000 pekee kufanya kampeni na nyingine zilitoka kwa watu waliomtakia mema na marafiki wenye nia nzuri katika kisiasa.
Hii ni nyumba ya Linet, anatarajia kuboresha makazi yake na kufanya maisha ya wazazi wake kuwa bora zaidi. Hakuna huduma ya umeme katika kijiji chake

Ilikuwa ni shamrashamra, furaha, ngoma na machozi wakati kijiji kikimkaribisha nyumbani kwake, changamoto kubwa alipoanza mchakato wa kugombea ilikuwa ni kuishawishi jamii yake na wapiga kura kwa ujumla ambao walihoji kuwa hawezi kufanya hivyo kwa sababu hajaolewa, hana uzoefu wa kazi na hana pesa za kutoa.

Ujumbe wake kwa wasichana wote ‘usikate tamaa kamwe

CHANZO - BBC Swahili
Share:

RUTO AWAPONGEZA WASHINDI UCHAGUZI MKUU KENYA




Mgombea Urais nchini Kenya kupitia muungano wa Kenya kwanza William Samoei Ruto, amewapongeza washindi wote walioshinda katika maeneo mbalimbali nchini humo.


Ruto ametumia mtandao wake wa Twitter kuwapongeza washindi mbalibali wakiwemo wabunge hasa akieleza kufurahishwa na muamko wa wanawake katika uchaguzi huo

"Hongera kwa washindi wote wa uchaguzi. Hasa, tunasherehekea wanawake wengi ambao wamevunja vizuizi vya kupanda ngazi ya kisiasa. Kila la heri unapoanza majukumu yako mapya. Hustlers wanakutegemea" ameandika katika mtandao wake wa Twitter
Share:

UGONJWA WA AJABU WAIKUMBA FAMILIA NZIMA


Helena Hungoli

MKAZI wa kijiji cha Imbilili Juu kilichopo Wilaya ya Babati, mkoani Manyara amezungumzia maumivu anayopata kutokana na ugonjwa wa ngozi kuning’inia na kufunika uso na mdomo.


Familia moja huko katika Wilaya ya Babati mkoani Manyara iliyopo katika kijiji cha Imbilili Juu, imekumbwa na ugonjwa wa ajabu baada ya watu wa familia hiyo ambao ni Helena Hungoli mwenye umri wa miaka 60 anayeishi na ndugu zake wengine kukumbwa na ugonjwa wa ajabu wa ngozi kuning’inia na kufunika pua na mdomo.


Pia katika familia hiyo wapo watoto wawili ambao ni watoto wake na Helena Hungoli, pamoja na ndugu zake ambao wote wanaishi kwenye kibanda kidogo wameugua ugonjwa huo.


Helena ameiomba Serikali na wasamaria wema kumsaidia, kwa kumuwezesha kutibu tatizo la ugonjwa huo ambao amedumu nao kwa zaidi ya miaka 55.


Wakati akizungumza amesema kwa sauti ya chini yenye majonzi:


“Kila sehemu ya mwili wangu inauma na kwa hali niliyo nayo, inanibidi nishinde nyumbani muda wote na sasa nahitaji msaada mkubwa, Serikali na wasamaria wema nisaidieni”


Kwa sasa amesema hawezi kufanya kazi yoyote ya kumuingizia kipato, kutokana na kuwa na hali ya ugonjwa huo tangu akiwa mdogo hadi sasa, hivyo ameiomba Serikali na wasamaria wema kuweza kumsaidia yeye pamoja na familia yake kuondokana na tatizo la ugonjwa huo.

Chanzo - Global Publishers
Share:

MWALIMU AUAWA ALIPOSIMAMA KUMSAIDIA MTU ALIYEMKUTA KALALA BARABARANI

Mfano wa mtu aliyelala barabarani
**
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju Masasi mkoani Mtwara Mwanahawa Shaibu (50) ameuwa kwa kushambuliwa kwa mawe hadi kufa wakati akijaribu kumsaidia mtu aliyemkuta amelala barabarani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Kamishna Msaidizi (ACP) Nicodemus Katembo amesema mwalimu Mwanahawa kabla ya kukutwa na umauti alikuwa akitokea shuleni kwenda nyumbani Mbemba.


"Wakati akirudi nyumbani akiwa amepakiwa kwenye pikipiki alimkuta mtu akiwa amelala barabarani na aliposimama ili kujua mtu huyo amekutwa na matatizo gani hadi kufanya hivyo, ndipo aliposhambuliwa ghafla na mtu huyo kwa mawe bila sababu yoyote akaanguka na kupoteza maisha",amesema Kamanda Mbemba.


Amesema Jeshi la Polisi linaendelea kufanya uchunguzi.
Share:

JITIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA FULL POWER


Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu ,shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;


1. Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

2. Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

3. Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

4. Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

5. Kisukari

6. Kuwa na mawazo na wasiwasi

7. Matumizi ya madawa mbalimbali

8. Umri hasa wazee

9. Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

10. Kuwa na tatizo la kibofu

11. Tabia za kujichua kwa muda mrefu

12. Kutopata usingizi kamili

13. Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine


DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;


1. Kuwahi kufika kileleni

2. Kukosa hamu ya mapenzi

3. Kushindwa kurudia tendo la ndoa

4. Uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimamisha

5. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

7. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

8. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji


TIBA SAHIHI YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

FULL POWER

⇨Ni dawa ya vidonge ya miti shamba inaongeza nguvu za kiume na kutibu kabisa tatizo hilo.

⇨Inaongeza hamu ya tendo la ndoa

⇨Inakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya Dakika 30 na kurudia tendo zaidi ya mara nne na zaidi.


ZAT 50
⇨ Inarutubisha maumbile ya uume na kunenepesha urefu nchi 6,unene sentimita 4

⇨Dawa hii ni ya kutibu kabisa tatizo hilo.


Pia tunatibu Magonjwa mengine kama


Matatizo ya pumu,Bawasiri, vidonda vya tumbo, Kisukari, Magonjwa sugu ya zinaa,Kaswende,U.T.I , kiuno,miguu kuwaka moto, Fangasi sehemu za Siri, kupunguza unene wa mwili,tumbo kuunguruma,kujaa gesi, matatizo ya uzazi kwa wanawake, kurutubisha mbegu za uzazi kwa akina baba, matatizo ya meno tunatibu bila kung’oa


Ndugu mteja Epuka midawa inayouzwa mitaani ambayo sio sahihi kwa matumizi ya binadamu JALI AFYA YAKO OKOA NDOA NA MAISHA YAKO

Kliniki yetu inapatikana Zanzibar, Dar es salaam na Shinyanga

Wasiliana nasi kwa simu namba 071770 22 27 au 0754568767  utatumiwa sehemu yoyote ulipo
Share:

AMUUA MKE WAKE ALIYEFUNGA NAYE NDOA MWEZI ULIOPITA




Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31) mkazi wa kitongoji cha Maskati kata ya Tegetero Halmashauri ya Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Mariam Vitaris (19) na mtoto wake wa miaka 2 huku chanzo cha mauaji hayo kikidaiwa ni mgogoro wa kifamilia.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo ameeleza kuwa mtuhumiwa alitekeleza mauaji hayo usiku wa Agosti 10 mwaka huu ambapo mara baada ya tukio hilo mtuhumiwa alienda kwa kaka yake Salum Said (34) ambaye anaishi katika kijiji hicho kwa lengo la kumuaga kuwa anasafiri na alipomhoji juu ya safari hiyo ndipo alipomueleza kuwa amefanya mauaji hayo nyumbani kwake ndipo kaka yake huyo aliamua kumkamata na kutoa taarifa Polisi.


Wakizungumza kwa masikitiko ndugu wa marehemu ambao ni wakazi wa kata ya Chamwino manispaa ya Morogoro wanaeleza kuwa mtoto wao alifunga ndoa na mume wake ambaye ni mtuhumiwa mwezi wa Julai mwaka huu na kuhamia kijijini huko na kwa kipindi chote hawakuwahi kusikia kama kuna mgogoro unaendelea mpaka kupata taarifa ya mauaji hayo.

Share:

Friday, 12 August 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI AGOSTI 13,2022











Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger