Wednesday, 4 May 2022
Tuesday, 3 May 2022
RAIS SAMIA ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI KATIKA MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim mara baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.
Waumini wa dini ya Kiislamu wakishiriki Swala ya Eid El Fitri iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Muslim Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.
Video Mpya : GUDE GUDE - TINGINAGA NSI
Msanii wa nyimbo za asili maarufu Gude Gude kutoka Segese Kahama ameachia wimbo mpya unaitwa Tinginaga Nsi..
Video Mpya : BAHATI BUGALAMA - TAMADUNI
Msanii wa nyimbo za asili Bahati Bugalama anakualika kutazama video yake mpya inaitwa Tamaduni
Monday, 2 May 2022
WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA LHRC MAONESHO YA KIHABARI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akisoma kitabu katika banda la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akisoma kitabu katika banda la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akizungumza katika banda la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Picha : WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA TCRA MAONESHO YA KIHABARI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la TCRA akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala kuhusu huduma zinazotolewa na TCRA leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha. Waziri Nape Nnauye ametembelea banda la TCRA wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la TCRA akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala kuhusu huduma zinazotolewa na TCRA leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye (kulia) akiwa katika Banda la TCRA akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Semu Mwakyanjala kuhusu huduma zinazotolewa na TCRA leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha.
NAPE NNAUYE ATEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA POSTA AKIZINDUA MAADHIMISHO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ( wa pili kulia) akitembelea banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu Uendeshaji Biashara Shirika la Posta Tanzania, Costantine Kasese. Picha na Kadama Malunde 1 blog
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni katika banda la Shirika la Posta Tanzania leo Jumatatu Mei 2022 katika ukumbi wa Gran Melia Hotel Jijini Arusha wakati akifungua maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani na Maonesho ya Kihabari yanayoambatana na Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya habari duniani yakiongozwa na kauli mbiu ‘Uandishi wa habari na changamoto za kidigiti'.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog