Magazetini leo Jumapili April 3 2022
...
Sunday, 3 April 2022
RAIS SAMIA APEWA TUZO YA HESHIMA

Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezi Mohamed Mchengerwa akiwa ameshikilia tuzo ya Heshima ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan ambayo amepewa na Chama cha Muziki wa Dansi nchini
Katibu Mtendaji wa Chama cha Muziki wa Dansi Agape Msumari akikabidhi Tuzo ya Heshima ya Rais wa...
Saturday, 2 April 2022
TEA YAISHUKURU SERIKALI KWA KUENDELEA KUIJENGEA UWEZO

NA GODFREY NNKO
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Bi.Bahati Geuzye ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwezesha Mfuko wa Elimu wa Taifa unaoratibiwa na mamlaka hiyo ili kugharamia...
OJADACT, ERC WATOA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHOKONOZI KWENYE UHALIFU WA MAZINGIRA
Katibu Tawala Wilaya ya Nyamagana Mhe. Yonas Alfred akifungua Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchokonozi (Investigative Journalism) kwenye uhalifu wa masuala ya uhifadhi wa mazingira.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupiga vita Matumizi...
MUME MWENYE HASIRA AMUUA JAMAA ALIEMFUMANIA AKIRARUA TUNDA LAKE LIVE KITANDANI
Mume wa umri wa miaka 53 aliyapandwa na mori amemuua jamaa mwenye umri wa miaka 35 baada ya kumpata akirarua tunda lake.
Ripoti ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ilifichua Edwin Komen aliuawa kwa kukatwakatwa Alhamisi, Machi 31, usiku huko Ukwala, Keringet,...