Na: Mwandishi wetu Bukoba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti atekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli la kugawa vitambulisho kwa Wajasiliamli Wadogo ili waweze kufanya shughuli zao za ujasiliamali na kujiingizia kipato chao cha kila siku bila kusumbuliwa na mtu yeyote. Mhe.Gaguti ametekeleza agizo hilo la Rais Magufuli Desemba 20,...
Thursday, 20 December 2018
RPC MUROTO AKIRI BIASHARA YA UKAHABA YAONGEZEKA KWA KASI JIJINI DODOMA
Msako unayoendeshwa na jeshi la polisi jijini Dodoma umeendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa 64 wakiwemo wezi, makahaba na wauza madawa ya kulevya. Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa 64 kati yao wakiwamo 11 wa ukahaba, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Gilles Muroto, amesema kuwa jeshi hilo litaendelea kuwakamata...
MMOMONYOKO WA MAADILI WATAJWA KUWA SABABU YA KUONGEZEKA UKATILI KWA WATOTO.
Na Amiry Kilagalila,Njombe. Utafiti wa mwaka 2009 unaonyesha kuwa asilimia 60% ya watoto wamefanyiwa ukatili wa aina mbali mbali ukiwemo wa kingono,wa kimwili au wa kihisia ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa ukifanywa na wazazi hali inayopelekea kuwa na watoto wasio kuwa imara katika Taifa. Hayo yamezungumzwa na mkurugenzi msaidizi idara ya watoto bi.Grace Muwangwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo...
DROO YA AFCON KUPANGWA LEO DAR

Droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON) inatarajiwa kupangwa hii leo Jijini Dar es salaam.
Upangaji wa droo hiyo utafanyikia kuanzia saa 1:00 usiku katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, ukiratibiwa na Shirikisho la Soka barani Afrika...
UCSAF WAZINDUA MNARA WA VODACOM USHETU KAHAMA
Muonekano wa Mnara unaomilikiwa na kampuni ya Vodacom uliozinduliwa katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu.
Zaidi ya wananchi 50,000 kutoka kata tano za Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambao walikuwa wanakabiliwa na changamoto ya mawasiliano kwa muda mrefu,hatimaye wamepata...
AFRIKA KUSINI IMEAGIZA BI.GRACE MUGABE AKAMATWE
Waendesha mashtaka nchini Afrika Kusini wametoa amri ya kukamatwa kwa mke wa Rais wa zamani wa Zimbabwe, Grace Mugabe, kutokana na tuhuma za kumshambulia mwanamitindo Gabriela Engels mwaka 2017. Polisi nchini Afrika ya Kusini, imesema hatua hiyo imekuja baada ya mahakama kuibatilisha kinga yake ya kidiplomasia mwezi Julai. Utakumbuka, serikali ya Afrika Kusini ilikosolewa kwa kuruhusu Bi. Mugabe...
BIASHARA YA UKAHABA TISHIO DODOMA...POLISI WATAHADHARISHA ONGEZEKO MAAMBUKIZI YA VVU

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, limesema kasi ya biashara ya ukahaba inahatarisha usalama wa afya na kulifanya jiji hilo kuwa na ongezeko la maambukizi ya virusi vya Ukimwi.
Akizungumza jana na waandishi wa habari jiji Dododma kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa 64 kati yao wakiwamo 11 wa ukahaba,...
Picha : RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA UPANUZI WA BARABARA YA MOROGORO KUANZIA KIMARA – KIBAHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Kisiasa pamoja na Viongozi wa Dini kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa...
MAMA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUUA MTOTO WAKE

Mwanamke mmoja Mkazi wa Mburahati NHC, Angelina Joseph (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kosa la kumuua mtoto wake.
Mwendesha mashtaka wa Serikali, Ramadhan Mkimbo, amedai hayo leo Jumatano Desemba 19, mbele ya Hakimu Frank Moshi.
Amedai Novemba 5 mwaka huu,...
ZAIDI YA WANAFUNZI 4,000 HATARINI KUKOSA MASOMO ILEMELA
Zaidi ya wanafunzi 4,000 waliohitimu darasa la saba mwaka huu na kufaulu, wako hatarini kukosa fursa ya kujiunga na kidato cha kwanza hapo mwakani kutokana na upungufu
wa vyumba vya madarasa katika Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi,...
RAIS MAGUFULI ALIVYOPANGUA KAULI YA MNYIKA KUHUSU DEMOKRASIA NA VYUMA KUKAZA

Rais John Magufuli amemjibu mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika baada ya mbunge huyo kuhoji kuhusu demokrasia, vyuma kukaza na kuomba waliovunjiwa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro kulipwa fidia.
Magufuli alitoa kauli hiyo jana Jumatano Desemba 19, 2018 muda mfupi kabla ya kuweka...
MWAKYEMBE APELEKA KWENYE VYOMBO VYA USALAMA MAJINA YA WANACHAMA WA YANGA

Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwanyembe amepeleka majina nane ya wanachama wa klabu ya Yanga kwenye vyombo vya usalama kwa ajili ya kuwachunguza.
Akisoma taarifa ya Waziri Mwakyembe kwa vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Ufundi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...
breaking news:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2019
Kama kawaida yetu leo tumeamua kukusogezea huduma kabambe mdau wetu wa blog ya maswa yetu kwa kukuletea hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2019
HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 3000 TU
ILI UANGALIZIWE JINA UNALOHITAJI TAFADHALI FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA KAMILI...
HABARI KWENYE MAGAZETI YA LEO ALHAMISI DESEMBER 20/2018
Katibu leo December 20, 2018,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Sourc...
Wednesday, 19 December 2018
WANAOBEZA MIMI KUWASAIDIA WALEMAVU KUPATA VIUNGO BANDIA NI MTAZAMO WAO -MBUNGE MHE RITTA KABATI.
Na Francis Godwin,Iringa MBUNGE wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) amesema kuwa mkakati wa ni kuhakikisha anawasaidia watu wenye ulemavu wa viungo katika mkoa huo kupata msaada wa bure wa viungo vya bandia na wanaosema anafanya siasa kupitia walemavu hao ni mtazamo wake na si makusudi yake kuwabangua wenye ulemavu. Akizungumza Jana wakati wa zoezi la kuwasafirisha zaidi ya walemavu...
WAFANYABIASHARA WADOGO 25,000 MKOANI MWANZA KUPATIWA VITAMBULISHO.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Ndugu John Mongella, hivi Leo amekabidhi Vitambulisho 25,000 vya wafanyabiashara wadogo maarufu wamachinga kwa wilaya saba za mkoa wa Mwanza. Ndg. Mongellea, akikabidhi vitambulisho hivyo, amesema zoezi hili ni endelevu litakalowafikia wafanyabiashara wadogo wote mkoani Mwanza. Kwa kuanzia wilaya ya Nyamagana na Ilemela watafikiwa wafanyabiashara 10,000 kutokana na wingi...