Wednesday, 13 July 2016

BREAKING NEWS:HIZI HAPA SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU MWAKA WA MASOMO 2016/2017-TCU

Tanzania Commission for Universities

Tokeo la picha la TCU.GO.TZ
PUBLIC NOTICE

CHANGE OF PROCEDURES, REQUIREMENTS AND MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS

1.0.     Background

This is to inform the General Public and all Prospective applicants for admission into various undergraduate degree programmes that, pursuant to section 5(1)(c)(i) of the Universities Act, Cap. 346 of the Laws of Tanzania, the Tanzania Commission for Universities (TCU) is mandated to provide guidance and monitor criteria for admission to universities in the United Republic of Tanzania. The minimum admission entry qualifications currently in use were approved by the Commission in 2011.

2.0.     Rationale for change of Minimum Admission Entry Qualifications

In recent years, there have been concerns from different stakeholders on the quality of candidates being admitted to various universities, hence negatively affecting the quality of training and the resultant output/graduates. Similarly, there are concerns that by lowering the minimum points for admission into university institutions, almost every candidate with two principal passes is eligible to join a university and therefore leaving most of the middle level tertiary institutions without qualified students.

3.0.     New Minimum Admission Entry Qualifications

In view of such concerns, the Commission has decided to raise the threshold for the minimum entry points for admission to university education. Thus from the 2016/2017 academic year, the new Minimum Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students shall now be as follows:

NO.
CATEGORY OF APPLICANTS
MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
1.
Completed      A-Level studies before 2014
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
2.
Completed A-Level studies in 2014 and 2015
Two principal passes (Two Cs) with a total of 4.0 points (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1).
3.
Completed A –Level studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
4.
Recognition of Prior Learning qualification
B+ Grade: where A =75-100, B+ = 65-74, B=50-64, C =40-49, D = 35-39, F = 0-38.
5.
Equivalent applicants
At least four O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III with less than four O’-Level passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or VETA; AND
i)   At least a GPA of 3.5 for Ordinary Diploma (NTA Level 6); OR
ii) Average of B for  Full  Technician Certificate (FTC) (where A=5, B=4, C=3, and D=2 points); OR
iii) Average   of   ‘B+ Grade
Teacher Education; OR
for
Diploma
in
iv) Average of ‘B+’ Grade for Health related awards such as Clinical Medicine and others; OR
v) A Distinction for unclassified diplomas and certificates.
vi) Upper Second Class for classified non-NTA diplomas.

2

Share:

Official VIDEO | Diamond Platnumz Ft. P'square - KIDOGO | Watch/Download

https://youtu.be/p54aaeL7W1s

http://www.youtubeinmp4.com/redirect.php?video=p54aaeL7W1s&r=XPNftKPPLV4nBpP%2BD9Uz%2Bzx1Hm3plM78RrPXO0dqgvY%3D
Share:

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TCU:KUBADILIKA KWA SIFA,VIGEZO NA TARATIBU ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU 2016/2017

Kutokana na kuwepo kwa wimbi la kudahili wanafunzi walio na ufaulu mdogo vyuo vikuu,Kuanzia mwaka wa masomo 2016/2017 ni kwamba TCU imeamua kuandisha sifa za kujiunga n vhuo kikuu kwa mwaka wa masomo 2016/2017.

Hivyo basi sifa za kujiunga vyuo vikuu kwa wanafunzi wa form six na diploma zimebadilishwa.

Pamoja na hayo yote kulikuwa na kozi ambazo zilikuwa zinaendeshwa na vyuo husika kwa wanafunzi wasiokuwa na sifa za kujiunga vyuo vikuu ,na kuwapa mitihani wakifaulu huendelea na chuo,kozi hizo zimezuiwa rasmi.

KWA UFUPI NI KWAMBA:
KWA FORM 6:minimum requirement to join university ni D mbili kwenye masomo yako.

KWA DIPLOMA:LAZIMA UWE NA GPA YA 3.5 AU UPPER SECOND CLASS.

ANGALIA HAPO CHINI TABLE IKIONYESHA SIFA ZA KUJIUNGA CHUO KIKUU 2016/2017

New Minimum Admission Entry Qualifications

In view of such concerns, the Commission has decided to raise the threshold for the minimum entry points for admission to university education. Thus from the 2016/2017 academic year, the new Minimum Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students shall now be as follows:

NO.
CATEGORY OF APPLICANTS
MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
1.
Completed      A-Level studies before 2014
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
2.
Completed A-Level studies in 2014 and 2015
Two principal passes (Two Cs) with a total of 4.0 points (where A = 5; B+ = 4; B = 3; C= 2; D = 1).
3.
Completed A –Level studies from 2016
Two principal passes (Two Ds) with a total of 4.0 points (where A = 5; B = 4; C= 3; D = 2; E = 1).
4.
Recognition of Prior Learning qualification
B+ Grade: where A =75-100, B+ = 65-74, B=50-64, C =40-49, D = 35-39, F = 0-38.
5.
Equivalent applicants
At least four O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III with less than four O’-Level passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or VETA; AND
i)   At least a GPA of 3.5 for Ordinary Diploma (NTA Level 6); OR
ii) Average of B for  Full  Technician Certificate (FTC) (where A=5, B=4, C=3, and D=2 points); OR
iii) Average   of   ‘B+ Grade
Teacher Education; OR
for
Diploma
in
iv) Average of ‘B+’ Grade for Health related awards such as Clinical Medicine and others; OR
v) A Distinction for unclassified diplomas and certificates.
vi) Upper Second Class for classified non-NTA diplomas.

Share:

Undergraduate TCU Admission Guide Book 2016/2017

Share:

Watumishi HEWA Waisabisha Serikali Kusitisha ajira Mpya za Watumishi 71,496

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema serikali imelazimika kusitisha ajira mpya za watumishi 71,496 serikalini, mwaka huu hadi pale tatizo la watumishi hewa litakapopatiwa ufumbuzi.

Akifungua mafunzo kuhusu maadili ya viongozi wa umma kwa wakurugenzi watendaji wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji Ikulu Dar es Salaam jana, Kairuki alisema tangu oparesheni ya kutafuta watumishi hewa ianze hadi sasa watumishi 12,246 wameshaondolewa.

Kairuki alisema tatizo la watumishi hewa nchini bado ni kubwa kwani uzoefu unaonesha kuwa nchi nyingi zilizokumbwa na tatizo hilo, ni asilimia ndogo tu ya watendaji ndio iliyokuwa inawajibika.

Alisema kwa sasa serikali imelazimika kusimamisha masuala mengi ya utumishi wa umma ili ipate taarifa kamili ya aina ya watumishi waliopo, na kwamba ma-DED hao kuhakikisha wanasimamia vyema oparesheni hiyo kwani hadi sasa watumishi hewa waliobainika, takribani asilimia 90 wanatokea katika Serikali za Mitaa.

Aidha, Kairuki alisema pamoja na kugundulika kuwa tatizo la watumishi hewa ni kubwa nchini, pia serikali imebaini kuwepo kwa watumishi watoro wasiotimiza wajibu wao.

“Nawataka mkahakikishe mnawabana hawa maofisa utumishi, haiwezekani kuwepo na tatizo la watumishi hewa kubwa kiasi hiki huku pia kukiwa na tatizo la watumishi watoro, hawa maofisa kwani walikuwa na majukumu gani?” Alihoji Kairuki.

Alisema endapo serikali itabaini kuwa maofisa utumishi hao wamehusika katika matatizo hayo ya watumishi hewa na utoro, wataondolewa mara moja.

 “Serikali haina mchezo kila ofisa katika eneo lake, awe ofisa elimu, afya na kilimo wafanye kazi zao,” alisema.
Share:

Tuesday, 12 July 2016

New AUDIO | Diamond Platnumz Ft. P'square - KIDOGO | Download

Share:

Gwajima akamatwa na polisi

Jana mchana askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima amekamatwa Airport wakati akitua toka Nje ya nchi alikoenda kwa matibabu.
Duru za habari zinanyetisha kuwa Askofu Gwajima alishuka na ndege ya Kenya Airways iliyokuwa inatoka Nairobi kuja Dar ambapo baada ya kushuka alitaka kuunganisha na chopa yake kuingia mjini kupitia Sea Cliff.
Mpaka sasa Askofu yupo chini ya ulinzi na wafuasi wake na wasaidizi wake wamethibitisha kuwa walikuwa na taarifa za kuja kwa Askofu wao leo na ndege ya Kenya Airways lakini hawajamuona,na habari walizozipata ni kuwa mara baada ya kushuka vyomba vya Usalama vilimkamata sbb walikuwa wakimtafuta kwa muda mrefu.
Waumini wake na wasaidizi wake wanaendelea kufuatilia kujuwa kiongozi wao anashikiliwa katika kituo kipi cha polisi.Hizi habari zimezua "taharuki" kanisani kwake na waumini wapo katika makundimakundi kujadili hatima ya Askofu wao

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger