Kwa habari zilizotufikia MASWAYETU BLOG ni kwamba shule ya sekondari Lindi imeungua kwa moto usiku wa kuamkia leo,na kuteketeza vibaya majengo ya madarasa hasa ya form 2 na form 3 ,ambapo pia moto huo umeunguza maabara ya chemsitry na physics vibaya sana.
Chanzo cha moto huo unasemekana ni itilafu ya umeme