Ajali mbaya yatokea Mbalizi Mbeya muda wa saa moja na nusu jioni Lori
lililo kuwa limepakia Siment limegonga magari 4 na hilo Lori jumla la 5.
imeigonga Gari aina ya Coster iendayo Mwanjelwa yenye namba T 705 CVK
ikiwa na Abiria na Gari aina ya Center iliyokuwa imebeba Mahindi na Gari
ndogo aina ya Suzuki na Noah iliyo kuwa na Abiria, inasemekana watu
wengi wamekufa ila idadi ya walio fariki mpaka sasa bado hatujapata...
Mungu azilaze Roho za marehemu mahala pema pepoli Amin.
Tutaendelea kukujuza Tukipata habari zaidi...
Tutaendelea kukujuza Tukipata habari zaidi...
HII NI SAUTI KATIKA ENEO LA TUKIO..
0 comments:
Post a Comment