INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya Waziri wa elimu kutangaza kwamba serikali itaanza kuhakiki sifa za wanafunzi walioko vyuoni kama wanasifa za kuwepo vyuoni humo,Chuo kikuu cha sua kimeanza zoezi la kuhakiki wanafunzi hao,MASWAYETU BLOG TEAM ikiongea moja kwa moja na Makamu mkuu wa chuo hicho Prof.Peter Gillah ofisini kwake ,amesema kwamba "japokuwa hatujapata taarifa rasmi kutoka serikalini kuhusu kuhakiki wanafunzi wetu,sisi tumeona tuanze moja kwa moja ili kujihimarisha wanafunzi tulionao,huku tukisubiria taarifa rasmi kutoka serikalini,Pia tumeanza rasmi kuhakiki wanafunzi hasa hawa wapya wa st.joseph kama wana sifa za kujiunga chuoni hapa"
MASWAYETU BLOG iligonga hodi chuo kikuu cha mzumbe ambacho kipo km 17 kutoka mjini ,na kuuliza kama wameanza kufanya uhakiki wa wanafunzi walionao,Na kupewa jibu moja tu kwamba "SISI TUNA AMINI WANAFUNZI WETU KWA SABABU WAMEDAHILIWA KUTOKA TCU NA NACTE"
By repoter MASWAYETU BLOG TEAM !