INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wednesday, 9 March 2016
Tuesday, 8 March 2016
HISTORIA YA KATIBU MKUU KIONGOZI JOHN WILLIAM KAJAZI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 6 Machi 2016, akichukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefue.
Kabla ya uteuzi huo, Balozi Mhandisi Kijazi alikuwa mwakilishi wa Tanzania nchini India, Singapore, Sri Lanka, Bangladesh na Nepal mwenye makazi yake jijini New Delhi, India kuanzia mwaka 2007 na hivyo kumfanya kuwa Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha Tanzania nje ya nchi.
Vilevile, hadi uteuzi wake, Balozi Kijazi amekuwa Mkuu wa Mabalozi wa Afrika nchini India ambaye amekuwa mtetezi mkuu wa wanafunzi wenye asili ya Kiafrika nchini India.
Kabla ya kuwa balozi, Mhandisi Kijazi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na baadaye Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu kuanzia mwaka 2002 hadi 2006, baada ya kuteuliwa kuwa Balozi ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na hatimaye kupangiwa kituo cha New Delhi, India. Kati ya mwaka 1996 hadi 2002.
Mhandisi Kijazi alikuwa Mhandisi Mwandamizi wa Ujenzi wa Barabara ndani ya Wizara ya Ujenzi kabla ya kupandishwa cheo na kuwa Mkurugenzi wa Barabara za Mikoa ndani ya Wizara hiyo hiyo.
Balozi Mhandisi Kijazi alipata Shahada ya Sayansi ya Uhandisi wa Umma mwaka 1982 kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam, na baadaye Shahada ya Uzamili katika Uhandisi wa Barabara Kuu kutoka Chuo Kikuu cha Birmingham, Uingereza mwaka 1992.
Balozi Mhandisi John Kijazi amemuoa Fransiscar Kijazi na pamoja wamejaliwa watoto watatu, David, Emmanuel na Richard Kijazi.
Balozi Mhandisi John Kijazi ataapishwa leo tarehe 7 Machi 2016 na Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu jijini Dar es salaam.
Imetolewa na: Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma,Wizara ya Mambo ya Nje,Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kikanda na Kimataifa,07 Machi 2016.

WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WAENDELEA NA MGOMO- DAR LEO
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Siku ya leo tena wanafunzi wa stjoseph wameonekana wakiwa njee ya madarasa yao na shughuli zote za kimasomo zikisimama ,hii ni baada ya siku kadhaa kupita tangu wanafunzi wa chuo cha st joseph kampas ya luguruni kugoma ndani ya wiki iliyopita, moto umeendelea kuwashwa hii leo tena ikiwa ni harakati ya wanafunzi hao kudai haki lazima itendeke, na pia serikali inatakiwa kuangalia swala hili kwa jicho la tatu, ili kutendea kazi madai ya wanafunzi hawa…
madai ya wanafunzi ni yale yale tangu miaka ya nyuma kidogo ambapo wanafunzi waliofatilia kipindi hicho walipewa majibu yale yale yanayotoleawa leo na kwamba hakuna ufatiliaji uliofanyika wa maana hivyo kupelekea wanafunzi kuendelea kuteseka pasipo usaidizi wowote.
madai hayo ni pamoja naada kubwa inayolipwa mara mbil zaidi ya ada iliyopangwa na serikali lakini pia elimu inayotolewa haiendani na ada inayotolewa,pia ratiba za chuo kuwa tofauti sana na ratiba za vyuo vingine, kucheleweshwa kwa vyeti vya wahitimu pia muda wa kuhitimu kucheleweshwa bila sababu za msingi, pia kutokuwa na walimu wenye sifa za kufundisha elimu ya chuo kikuu,
pia wanafunzi wanaandamana kuomba chuo kifungwe kwa muda ili kifanyiwe marekebisho hayo ndipo masomo yaendele kama kawaida.
Hivyo wanafunzi hao wametoa waraka kwa serikari na chuo ili mahitaji yao yaweze kutimizwa haraka

Monday, 7 March 2016
HII NDIO ADA WANAYOTAKIWA KULIPIA WANAFUNZI WA ST.JOSEPH WALIOHAMISHIWA CHUO KIKUU MWENGE(MWECAU)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
You are informed to report to Mwenge Catholic University on Tuesday 8th March 2016 at 9:00 am for registration. In order to be registered your are required to do the following:
1. Pay administrative fee (fully) and Half of Tuition fee.
2. Bring Clearance letter from St. Joseph University of Tanzania
3. Bring Form four, form six/Diploma Certificates and other academic documents as directed by TCU
NB:
1. Tuition fee Tsh. 1,280,000 per year (year 1 – 3)
2. Administration fee
2.1. Year one Tsh. 390,000/=
2.2. Year two Tsh. 370,000/=,
2.3. Year three Tsh. 410,000/=
3. All Payments should directed to;
Mwenge Catholic University
i. A/C NO. 017103005324 NBC LTD - Moshi Branch
ii. A/C NO. 01J1039285600 CRDB Bank Plc - Moshi Branch
iii. Money for Students Government should be paid to Exim Bank A/C NO. 0240002038
iv. Bank pay-in slip shall be submitted to Finance Office, clearly indicating (Name, payment for, amount, date, )
4. Do not make any payment trough M-pesa, Tigo Pesa or Artel Money to the University
Issued by
Athanas Sing’ambi,
Public Relations Officer

Registration and Orientation Timetable for Students from SJUIT
Date | Time | Event | Participant | Venue |
Mon 7/3/2016 | 09:00am – 16:00pm | Arrival and accommodation setting | PRO & Admission Officer | At the gate |
Tue 8/3/2016 | 09:00am- 16:30pm | Issuing registration numbers, Temporary IDs and Agreement form to the Students | Admission officer, PRO, Dean of Students, Bursar | ICT |
Wed 9/3/2016
Compulsory
|
09:00am -10:00am | General Meeting and Introductory Remarks | VC, DVCAA, DVCAF, Deans & Directors and All staff Present | New Hall |
10:00am- 11:00am | Orientation- Financial Matters | DVCAF & Bursar | New Hall | |
11:00am- 13:00am |
Orientation- Academic Matters; Special Arrangement for the group
|
DVCAA, Dean Faculty of Science, HODS & Academic Staff Science Departments | New Hall | |
14:00pm -16:30Pm | Orientation- University Laws & Regulations | Corporate Counsel | New hall | |
Thu 10/3/2016 | 08:30am- 12:00pm | Introduction to UMS course Registration procedures | ICT team | ICT |
12:00pm- 16:30pm | Online updating Details, Courses Registration and printing document to be submitted to Dean faculty of Science | Students | ||
Fri 11/3/2016 | 09:00am- 10:00am | Orientation- Dean of Students | Fr. Deo, Ms Nacy | New Hall |
10:0am- 11:30am | Orientation- Counseling Unit | Chaplain & Counselor | New Hall | |
14:00pm-16:300pm | Loan Issues | Loans Officer | New Hall | |
Sat 8/03/2016 | 08:30am- 12:30am | Orientation-Library | librarian | Library |
Mon
14/3/2016
|
08:00am - | Classes begin without exception | Timetable | Lecturer room |
Mwanafunzi Atoroka Bwenini Usiku, Abakwa na Kisha Kunyongwa
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwanafunzi wa bweni wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya kata ya Mnero, tarafa ya Ruponda, wilaya ya Nachingwea, mkoani Lindi, Agnes Jeremiah (18) ameuwawa kwa kunyongwa na watu wasiofahamika usiku kisha mwili wake kutupwa kichakani.

Habari
za uhakika kutoka wilayani humo na ambazo zimethibitishwa na Jeshi la
Polisi zinaeleza mwanafunzi huyo alinyongwa Februari 27, mwaka huu saa
4:30 usiku.
Mashuhuda wamesema kuwa Agnes alikuwa na tabia kutoroka bwenini nyakati za usiku na kwenda nje ya shule.
“Taarifa
ambazo tunazisikia huyu marehemu alikuwa akitoroka bwenini usiku na
kwenda anakokufahamu mwenyewe kabla ya kurejea alfajiri,” alisema mmoja wa watoa ambaye hakupenda jina lake litajwe
Kamanda
wa Polisi mkoani Lindi, Renatha Mzinga amekiri kutokea kifo cha
mwanafunzi huyo, na kueleza uchunguzi walioufanya umebaini alikuwa ni
tabia ya kutoroka bwenini nyakati za usiku na kwenda kwa mpenzi wake wa
kiume.
“Ni
kweli taarifa ya kifo cha huyo mwanafunzi Agnes Jeremiah ambaye ni
mkazi wa kijiji cha Mandawa, akiwa bwenini huko Mnero Sekondari
alitoroka usiku kwenda kwa mwanaume,” alisema Mzinga.
Mzinga
alisema uchunguzi unaonyesha mwanafunzi huyo alipofika eneo la kichaka
kilichopo karibu na kanisa la Roma, alibakwa na wanaume kisha kunyongwa
shingo na mwili wake kutelekezwa papo hapo.
Akasema
katika kufuatilia tukio hilo, wanamshikilia mkazi wa kijiji cha Mnero
Ngongo, Abdallah Ismaili (19) ambaye ni dereva wa bodaboda kwa mahojiano
zaidi.
”Inasemekana
huyu dereva wa bodaboda ndiye aliyekuwa akienda Shuleni hapo kumchukuwa
na kumpeleka kwa mwanaume wake ambaye kwa sasa ametoweka kijijini
hapo,” alisema Mzinga.
Hata
hivyo, kamanda huyo wa Polisi Lindi hakuwa tayari kutaja jina la
mwanaume anayedaiwa kuwa na mahusiano na mwanafunzi huyo, kwa maelezo
kwamba anaweza kuvuruga upelelezi.
“Tunaendelea
kumsaka huyu mwanaume wake aliyekuwa akipelekwa mwanafunzi huyu, hivyo
iwapo tutamtaja jina tunaweza kuharibu upelelezi wetu.”