Tuesday, 6 January 2015

BREAKING NEEWZ:SEKRETARIETI YA AJIRA YATANGAZA NAFASI ZA KAZI ,KILIMO,ENGINNERS,WALIMU MWISHO WA KUOMBA NI JANUARY 18 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/H/24 3 Januari, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Share:

TAKWIMU:VYUO VINAVYOONGOZA KWA MATUMIZI YA SIMU ZA SMARTPHONE ,WAKATI WATUMIAJI WAKE WAKITOKA KATIKA FAMILIA DUNI-KIUCHUMI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
slide2
Habari yenu wadau pendwa wa blog hii ya MASWAYETU ,leo tunawaletea takwimu mpya za matumizi ya simu aina ya smartphone kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ukilinganisha na maisha ya nyumbani kwao jinsi yalivyo.
Kutokana na simu hizi kuwa gharama huku wanafunzi wa chuo wakilalamika kuongezewa pesa ya matumizi na serikali yao,ndipo tulipoamua kufanya takwimu hizi na kugundua kuwa kati ya wanafunzi 7 wenye smartphone 5 kati yao maisha ya nyumbani kwao ni duni.
Vyuo vifuatavyo ndivyo hadi mda huu vinaongoza kwa Matumizi ya smartphone Tanzania.

1.DODOMA UNIVESRITY(UDOM) - 68%
2.UNIVESRITY OF DAR ES SALAAM(UDSM)-64%
3.SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE(SUA)-61.29%
4.INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM)-60%
5.ST.AGUSTINE UNIVERSITY(SAUT-MWANZA)-56%
6.COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION(CBE)-55%
7.MUHIMBILI UNIVERSITY(MUHAS)-53%
8.TUMAINI UNIVERSITY-51%
9.JODARN UNIVESITY-51%
Share:

TAARIFA YA IKULU KUHUSU HABARI ILIYOCHAPISHWA NA TANZANIA DAIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Rais hajadharau Bunge
Gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa Chama cha Upinzani cha CHADEMA
la leo, Jumapili, Januari 4, 2015, limeandika habari kwenye ukusara wake wa mbele chini ya kichwa cha habari: ”Wabunge: Ikulu imetudhalilisha” hata kama wabunge wanaokaririwa katika habari hiyo ni wawili tu, Mheshimiwa Freeman Mbowe na Mheshimiwa David Kafulila.

Habari hiyo inadai kuwa Ikulu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuteua Mwenyekiti wa Bodi Mpya
Share:

Wednesday, 31 December 2014

BREAKING NEWZ:MAFURIKO YATOKEA KATIKATI YA MJI MOROGORO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mvua zinazoendelea mjini morogoro zimeleata maafa makubwa ambapo hadi mda huu ni kwamba baadhi ya barabara hazipitiki baada ya maji kujaa barabarani.
Maeneo yalio pata mafuriko ni pamoja na KIGURUNYEMBE,MASIKA kuja HADI STAND YA DALADALA
MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea habari zaidi endelea kuwa nasi;
Share:

BREAKING NEEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU AWAMU YA PILI 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                
kama kawaida yetu Maswayetu exclusive blogspot tunawaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu awamu ya pili.
Enadapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafadhali fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834
2.Mfano paul paul(ualimu )
3.Huduma hii utatozwa tshs.800 tu ambayo utaituma kwa mpesa au
   salio kwenda namba  0768260834,0653791475

4.Tutakujibu ndani ya muda mfupi.
Share:

BREAKING NEWS:UKWELI KUHUSU KUBADILIKA KWA RATIBA YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                    
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
RATIBA YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2015
HAIJABADILIKA
Baadhi ya watu wamekuwa wakitumiana ujumbe kwenye mitandao ya
kijamii wenye kupotosha kwamba Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
Share:

Saturday, 27 December 2014

DOWNLOAD WIMBO MPYA-MKUBWA NA WANAWE UITWAO 'TULIA'

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wapendwa wasomaji wa na watembeleaji wa blog yetu hii pendwa ya maswayetu blog,yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliojiunga na kidato cha kwanza 2015 shule mbalimbali tanzania.

Share:

TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                         

MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.
UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:
BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015
Share:

TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU JANUARY 2015

TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU (JANUARI HADI MACHI 2015). MPANGO HUO UMESITISHWA HADI UTARATIBU UTAKAPOTOLEWA KWA VIJANA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015. HIVYO KUANZIA JANUARI HADI MEI 2015 VIKOSI VYA MAFUNZO HAVITAPOKEA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA. KILA MMOJA ANAYEHUSIKA AZINGATIE TANGAZO HILI.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU

Share:

Thursday, 18 December 2014

MPYA:TAREHE YA KUFUNGUA SUA YASOGEZWA HADI TAREHE 5 JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SOMA BARUA HIYO HAPO CHINI;

Share:

UTEUZI KUTOKA IKULU:WILLY KITIMA ATEULIWA KUWA MSAAIDIZI WA RAIS NYARAKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ateuliwa Msaidizi wa Rais
Share:

Saturday, 13 December 2014

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA ULAIMU KWA WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014,MAJINA YA WANAFUNZI HAO HAYA HAPA

INNOCENT THE BLOGGER BOY
                 
Kwa habari tulizozipata kutoka katika NACTE ni kwamba,viana wote waliokosa nafasi za kuiunga na kidato cha tano mwaka huu lakini walikuw na sifa za kujiunga na kidato cha tano wanatakiwa kuomba nafasi za ,afunzo ya ulaimu.
Zoezi la uombaji wa nafasi hizo limeanza na mwisho wake utakuwa ni tarehe 31 mwaka huu.
Endapo utahitaji kungaliziwa jina lako kama lipo tafdhali fanya yafuatayo;
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 13/12/2014,KUBWA ZAIDI AMERICA YAMPA MTIHANI MGUMU JK

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

Friday, 12 December 2014

DOWNLOAD NYIMBO MBILI MPYA ZA TUNDA MAN-"MAPENZI YALE YALE" NA "ACHANA NA MIMI" HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TUNDA MAN

Bonyeza hapa kudownload >>>>HAPA
Share:

BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015,HII INAWAHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,WALIMU WOTE WENYE ELIMU YA CHETI WALIOAJIRIWA ILI WAHAMISHIWE KATIKA MFUMO WA STASHAHADA,PIA YATOA MAJINA MENGINE MAPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA UALIMU JANUARY 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                    
(ili kuanagliziwa jina lako kama lipo tafadhali tuma jina lako kwenda namba 0768260834 usipige simu ,pia ambatanisha na gharama ya tshs.800 kwa mpesa na utajibiwa mapema iwezekanavyo)
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015

Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu yatakayoanza Januari 2015 kama ifuatavyo:
KUNDI LA I
Waombaji 611 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ambao waliwasilisha maombi yao Wizarani awamu ya pili kwa ajili ya kuchaguliwa kujiunga na mafunzo mwaka wa masomo 2014/15. Waombaji hawa wamechaguliwa na kupangiwa vyuo kulingana na Programu za mafunzo (Angalia orodha iliyoambatanishwa). Waliochaguliwa wanatakiwa kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo walivyopangiwa kwa kuzingatia maelekezo ya fomu zilizoambatishwa za kujiunga na chuo husika. Tarehe rasmi ya kuripoti vyuoni itatolewa mapema Januari 2015.
Share:

DOWNLOAD ROMA FT. STAMINA, MAUNDA ZORO, WALTER CHILAMBO - MWANAKONDOO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger