INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau ,kuhusu afya yetu tu wazima wa afya njema na mwenyezi mungu mwingi wa rehema anajalia kila siku mambo yanazidi kuwa mazuri,kama ambavyo tunatarajiria katika kuendelea kuwapa raha watanzania leo tumewaletea majina ya WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU NA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA 2014/2015
HIVYO BASI KAMA UTAPENDA KUANGALIZIWA POST YAKO UNATAKAIWA KUFANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO NA EXAM NAMBA KWENDA NAMBA 0768260834 KATIKA FORMAT IFUATAYO.
E.g.MUSSA PAUL S0765/0008/2011(MERU/IAA)