INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu ,natumaini mu wazima wa afya njema kabisa ,hata mie ni mzima wa afya.
Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa diploma ya ualimu udom mwaka wa masomo 2014-15.Hii inawahusu wale wote kidato cha nne waliomaliza shule mwaka 2013 kurudi nyuma.
Kama ilivyo kwaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma kwa wale wote mtakaotaka kuangaliziwa majina yenu kama mmechaguliwa au la.
Kama jina lako lipo hapa omba mkopo kupitia www.heslb.go.tz kama unahitaji. Kozi hii ina ufadhili wa serikali kwa watakidhi vigezo vya bodi.
Mawasiliano zaidi yatatolewa na UDOM. Kumbuka UDOM ni chuo kikuu na hivyo mamlaka ya mwisho kuhusu kujiunga na chuo hutolewa na senate ya chuo. Hivyo majina haya yametolewa kuwawezesha kuomba mkopo wakati mkisubiri taarifa rasmi kutoka UDOM.
Ili kujua kama umechaguliwa au la ,fanya yafuatayo;
1.Tuma jina lako kamili,EXAM NAMBA NA SHULE ULIYOMALIZA YA FORM IV ,kwenda namba 0768260834.
2.Gharama ya huduma hii ni tsh.1000 ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834.
3.Kama unatumia airtel na tigo pesa tuma pesa hiyo kwenda namba 0768260834.
4.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA,THANKS.