WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 |
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO
YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA
KA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:
Waombaji
waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka
wa masomo 2014/2015
wanatakiwa kuripoti katika Vyuo waliv
yopangiwa tarehe 06/10/2014.
Fomu za maelekezo (Joining
Instructions) zitatolewa na chuo husika na
zitatumwa kwa walio
chaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni
wakiwa
na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo.
Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:
www.moe.go.tz;
NACTE:www.nacte.go.tz; na
TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz
Muhimu: 1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja
la I hadi III
2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha Vyeti halisi vya Baraza la Miti
hani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA (CSEE na ACSEE) na vyeti
vya
kuhitimu Elimu ya Sekondari na Mafunzo ya Ualimu.
3. Ada ya mafunzo Stashahada ya Juu ni 600,000/= kwa mwaka (Muhula
wa kwanza 300,000/= na muhula wa pili 300,000/=)
4. Wanafunzi watakaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii
tu
na SIYO vinginevyo, waweza pata orodha hyo kwa kufungua kiungan
ishi
kimoja wapo hapo chini au kwa kutembelea mfumo wenye
majina - bonyeza hapa
MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU SAYANSI & HISABATI MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU ELIMU MAALUMU MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU LUGHA (KISWAHILI, ENGLISH & FRENCH) MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA AWALI MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MICHEZO MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MSINGI |
0 comments:
Post a Comment