INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali hapa tanzania hadi mda huu hawajui hatima yao ni nini kwani tangu wasaini pesa yao ya field yapata wiki 5 sasa.
Wakiongea kwa nyakati tofauti wanafunzi wa vyuo mbalimbali hapa tanzania wameonesha wazi kutokuwa na imani na uongozi uliopo juu kwani waliaihidiwa kuwa pesa haitachelewa tena.