INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Stori: Mwandishi wetu MWANAMUZIKI aliyefariki dunia, Amina Ngaluma maarufu
kama Japanese alifikisha siku 40 tokea azikwe Jumamosi iliyopita,
lakini katika kisomo kilichosomwa nyumbani kwao Kitunda, hakuna staa
yoyote wa muziki wa dansi aliyehudhuria.
Miroslav Josef Klose akishangilia baada ya kutupia bao la pili kwa Ujerumani usiku huu na kuvunja rekodi ya kupachika mabao.
Klose wakati akifunga bao lake la 16 katika michuano ya kombe la dunia.
Mkali wa mabao Miroslav Josef Klose.
MSHAMBULIAJI wa Ujerumani na timu ya Lazio ya Italia, Miroslav Josef
Klose, ameweka historia usiku huu baada ya kutupia bao lake la 16 na
kuwa mfungaji wa mabao mengi katika michuano ya Kombe la Dunia iliyoanza
mwaka 1930 ambayo kwa sasa inaendelea nchini Brazil.
Klose ameifungia Ujerumani bao la pili wakati ikitoa kichapo cha
mabao 7-1 dhidi ya Brazil katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia
2014.
Klose alifunga mabao matano katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka
2002 na 2006, akatupia manne huko Afrika Kusini mwaka 2010 na mpaka
sasa huko Brazil tayari amefunga mabao mawili moja dhidi ya timu yake na
Ghana wakati la pili dhidi ya Brazil leo.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 36 amempiku mshambuliaji wa Brazil, Ronaldo Luís Nazário de Lima aliyekuwa na mabao 15.
Wachezaji wengine waliowahi kufunga mabao zaidi ya 11 kwenye michuano
hiyo ni: Gerd Muller wa Ujerumani 14, Just Fontaine wa Ufaransa 13,
Pele wa Brazil 12, Jurgen Klinsmann wa Ujerumani 11 na Sandor Kocsis wa
Hungary 11.
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO WA TAREHE 5 JULAI 2014
Usaili utafanyika sehemu zifuatazo: 1. Kada za GCLA zitafanyika OFISI ZA MKEMIA MKUU WA SERIKALI (GCLA), 10/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. 2. Kada za CBE zitafanyika CHUO CHA BIASHARA (CBE), 10/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. 3. Kada za MNMA zitafanyika CHUO CHA MWALIMU NYERERE (MNMA) - KIGAMBONI, 9/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. 4. Kada za SIDO zitafanyika OFISI ZA SMALL INDUSTRIES DEVELOPMENT ORGANISATION, 8/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI. 5. Kada za SSRA zitafanyika CHUO KIKUU CHA ARDHI, 8/7/2014 SAA MOJA KAMILI ASUBUHI.
NB:
WASAILIWA WANATAKIWA KUZINGATIA MUDA NA SEHEMU ILIYOTAJWA KWA AJILI YA
USAILI NA KUJA NA VYETI HALISI (ORIGINAL CERTIFICATES).
KADA: CHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST GRADE II MWARIJI:GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY (GCLA)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Watu
8, wengi wao ni wenye asili ya Asia, wanahofiwa kujeruhiwa kwa bomu
lililotupwa kwenye Mgahawa wa Gymkhana Arusha usiku wa kuamkia leo!
SAKATA la wafanyakazi wa
ndani kunyanyaswa na mabosi wao limeingia katika sura ya kipekee, safari
hii mabosi wamegeukwa ambapo mmoja amedaiwa kuuawa na hausigeli wake
aliyetajwa kwa jina la Valentina Karenge (17).
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY HATIMAYE gazeti namba moja kwa habari za uchunguzi
Tanzania, Uwazi limeyanasa majina 403 ya Watanzania waliokamatwa,
kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya
madawa ya kulevya ‘unga’.
ORODHA
YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI
(BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYANSI NA
HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI MWAKA WA MASOMO 2014/2015.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo
Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari
jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X.