Monday, 7 July 2014

JACK PATRICK :AZIDI KUMTESA JUX

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MOYO unauma! Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux Vuitton’ amekiri kuteswa na ishu ya mwanamitindo Jacqueline Fitzpatric Cliff ‘Jack Patrick’ akiomba asiulizwe habari za modo huyo aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa yupo nyuma ya nondo kwa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ huko Macau, Hong Kong nchini China.
Share:

LULU AWASEMA WABAYA WAKE WA BONGO MUVI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa yao ipo jikoni.
Share:

ELIMU:HATUA ZA KUFATA ENDAPO UNAHITAJI KUSHIKA MIMBA MAPEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.


2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia. 
Share:

JAMAA APIGWA RISASI NA POLISI BAADA YA KUHISIWA KUTAKA KUIBA KWENYE BENKI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


 
Share:

Sunday, 6 July 2014

WANAFUNZI WA DODOMA UNIVERSITY WATOA TAMKO-KUHUSU SKENDO JUU YA UKAHABA,WASEMA KUWA WANAOFANYA BIASHARA HIYO HUTUMIA STATUS YA UDOM KUPATA WATEJA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Mji wa Dodoma unakua kwa kasi kubwa, ofisi  za serikali na taasisi zisizo za kiserikali zinajengwa kwa wingi.



Wafanyabiashara nao hawapo nyuma wakiwamo wanaonadi miili yao kama bidhaa. Hawa ni maarufu kwa majina kama vile makahaba, machangudoa na dada poa.
Share:

FREEMASONS WATOA TAMKO KUHUSU MMWISHO WA DUNIA-SOMA TAMKO HILO HAPA MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet,
sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo kusababisha majanga mbalimbali kutokea. 
Share:

WANAFUNZI WA CBE-DODOMA WATUKANANA MITANDAONI-SOMA HAPA MASWAYETU BLOG

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Baadhi ya wanafunzi
wa CBE Dodoma  wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram  na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....

Share:

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU UDSM-ATAKA KUJIUA


Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam aitwaye Tina Kinozi ataka kujiulia gesti jana usiku baada ya kuchoka kuumizwa moyo na wanaume ambao wameonesha kutokumpa ushirikiano wa kimapenzi kabisa.
Chanzo cha habari hii kinasema kuwa mwanadada huyo alikuwa na miadi ya kukutana na mwanaume ambaye inasemekana pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam jana usiku kwenye gesti moja mashuhuri sana iliyopo Sinza, Dar es Salaam. Mwanadada huyo alimsubiri mtu wake mpaka saa 6 usiku, lakini hakutokea kabisa!! Baada ya kugundua kuwa
Share:

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI AENDA KULALA NAE NYUMBANI KWAKE HUKU NYUMA NYUMBA ALIYOACHIWA MWANAFUNZI ALINDE YAUNGUA MOTO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Wananchi wa Mlangali  Ludewa  wakiwa  wamekizingira  kituo cha polisi Mlangali  mara baada ya  kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa  moto katika  kituo hicho
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WAZIRI WA UJENZI KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI
                                                                        
                                                                      
                                                                  
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA
Wizara ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi  mbaimbali ya Maendeleo katika  mkoa wa Mwanza na Mara.
Mheshimiwa Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami. Siku inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua  mradi wa barabara ya Makutano – Natta – Mugumu (sehemu ya Makutano – Sanzate km 50). 
Share:

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI: ANA KWA ANA NA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA WA CCM, CHADEMA, CUF NA NCCR-MAGEUZI KUHUSU MWENENDO WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

SOMALIA:BOMU LAUA 4 NJE YA BUNGE,,,SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Wapiganaji wa Al Shabaab
Bomu lililotegwa kwenye gari limelipuka na kuua watu wanne karibu na Bunge la Somalia na wengine kujeruhiwa, maafisa wa Polisi wamesema.
Habari zanasema bomu hilo lilipiga nje ya lango kuu la kuingia katika m
Share:

PICHA ZIKIMWONESHA SHEHE ALIYELIPULIWA NA BOMU ARUSHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYShekhe Muhaji Hussein Kifea…
Sheikh wa Msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37), uliopo Kilombero jijini Arusha amelipuliwa na bomu la kurusha kwa mkono akiwa nyumbani kwake wakati wakila daku hapa akiwa amelazwa katika Hospitali ya Mt. Meru, alijeruhiwa miguuni na mapajani.
Share:

HAYA NDO MAJUBU YA DIAMOND BAADA YA TUZO ZA BET

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Diamond Platnumz na DMK kwenye utoaji tuzo za BET Los Angeles
Photo Credits: DMK Global Promotions' facebook page
Share:

Saturday, 5 July 2014

MH. RAIS KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
1 
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, leo Julai 5, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Sania Kigwe.
Share:

BURUDANI:KWELI TANGA RAHA ANGALIA MABINTI WA KITANGA WAKIZUNGUSHA MAUNO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger