Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Jijini Dar es salaam alikohudhuria Hafla ya kuapishwa kwa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu wa Wizara mbalimbali pamoja na Baadhi ya Makamishna wa Taasisi za Serikali, leo April 06,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment