Wasanii mkoani Shinyanga akiwemo Hassy Q, PrezBeats, RamaPizzo, Nasha, Nayla na Willkan waliounda kundi linaloitwa Ukoo wameomboleza Kifo cha Aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la 'Mzee Wetu'.
Tazama video hapa chini
Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
0 comments:
Post a Comment