Machi 20,2021- Mwili kupelekwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa taratibu za kuaga
Machi 21,2021- Wananchi wa Dar es Salaam kuaga mwili na kisha kusafirishwa kuelekea Dodoma
Machi 22,2021- Wananchi wa Dodoma kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Zanzibar
Machi 23,2021- Wananchi wa Zanzibar kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea mkoani Mwanza
Machi 24,2021- Wananchi wa Mwanza kuaga mwili na baadaye kusafirishwa kuelekea Chato mkoani Geita
Machi 25,2021- Wanafamilia na wananchi wa Chato na Mikoa jirani kuaga mwili
Machi 26, 2021- Shughuli za Mazishi kufanyika Chato mkoani Geita
0 comments:
Post a Comment