Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akabidhiwa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kongwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa, Dkt. Omary Nkullo tukio lililofanyika jana katika Ofisi za Halmashuri hiyo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongozana na Wachama mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kutoka Jimbo la Kongwa wakati akienda kuchukua fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la hilo tukio lililofanyika leo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.


0 comments:
Post a Comment