
Shangwe zimetawala katika Mji wa Mhunze wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga wakati Mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Boniface Butondo akikabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge na msimamizi wa uchaguzi kutoka Tume ya uchaguzi Emmanuel Johnson katika ofisi ya halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga.
Butondo amechukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kishapu leo Jumamosi Agosti 22,2020 akisindikizwa na viongozi na wanachama wa CCM.
Mgombea Ubunge jimbo la Kishapu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Boniface Butondo akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge na msimamizi wa uchaguzi kutoka tume ya uchaguzi Emmanuel Johnson (kulia) katika ofisi ya halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga leo Jumamosi Agosti 22,2020. Picha na Suzy Butondo
Awali Boniface Butondo akikabidhi barua ya uteuzi kutoka CCM kwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kishapu, Emmanuel Johnson
Wanachama wakimsindikiza mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu Boniface Butondo kwenda kuchukua fomu katika halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga
Wanachama wakimsindikiza mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu Boniface Butondo kwenda kuchukua fomu katika halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga
Butondo akiwa na baadhi ya wagombea/watia wenzake waliogombea katika kura za maoni waliojitokeza kumsindikiza kuchukua fomu ambao wamesema watashirikiana nae ili ashinde kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu.
Vijana wa CCM Kishapu waliojitokeza kumsindikiza mgombea ubunge Boniface Butondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge
Vijana wa CCM Kishapu waliojitokeza kumsindikiza mgombea ubunge Boniface Butondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge
Boniface Butondo akiwa na baadhi ya viongozi wa dini
Mgombea Ubunge Jimbo la Kishapu, Boniface Butondo akiwa na viongozi wa CCM wilaya ya Kishapu
0 comments:
Post a Comment