Friday, 14 August 2020

CHIFU ABDALLAH SUBE ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA MJINI KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA MAKINI

...

Abdallah Issa Sube maarufu 'Chifu Abdallah Sube' (kulia) akichukua Fomu ya kugombea   Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama cha Demokrasia Makini Agosti 13,2020 kutoka kwa Msimamizi uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini Geoffrey Mwangulumbi (kushoto).Zoezi la kuchukua fomu kwa nafasi ya ubunge na udiwani limeanza tarehe Agosti 12,2020.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger