Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe (95) amefariki dunia.
Mugabe alikuwa nchini Singapore akipokea matibabu kwa muda mrefu.
Ameiongoza Zimbabwe kutoka 1980 mpaka 2017, alipong'olewa madarakani na makamo wake kwa msaada wa jeshi.
Taarifa zaidi tutakuletea hivi punde
0 comments:
Post a Comment