Monday 2 March 2015

HABARI MPYA NA MUHIMU KWA KIDATO CHA NNE WOTE,MWISHO WA KUOMBA VYUO VYA AFYA KWA INTAKE YA MARCH NI TAR 15/03/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                
Habari yenu,I hope nyie wote ni wazima wa afya njema hata mie nina mshukuru mwingi wa rehema kwa kuniweka  hai hadi leo hii ninapumua.

Kuna taarifa ambayo ninapenda kuwapa vijana wa kidato cha nne wanaotaka kujiunga na vyuo vya afya mwaka huu kwamba maombi yameshaanza kupokelewa na mmwisho wa kutuma maombi hayo ni tarehe 15 mwezi huu wa tatu;hivyo basi kama ulikuwa  hujatuma tafadhali tuma mapema.
MASWAYETU BLOG INAWAPENDA NA KUWAJALI SANA
Endapo kama utataka kujiunga na mtandao wa habari zetu kila siku kuhusu ajira mpya za walimu 2015/2016 na nyingine nyingi tafadhali bonyeza hapo chini;
BONYEZA HAPA  


Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger