Sunday 30 April 2017

TETESI:WAHITIMU WA SUA ELIMU YAO HATIHATI BAADA YA WALIMU WAO WENGI KUWA NA "VYETI FEKI"

 Image result for sua tanzania
Baada ya Rais Kupokea ripoti ya watumishi wa serikali wenye vyeti Feki,Wasiwasi umetokea kwa wanafunzi na wahitimu waliosoma Chuo kikuu Sua kutokana na kufundishwa na walimu ambao majina yao yametajwa kama ni watumishi wenye vyeti feki.
Share:

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE APRIL 30,2017

Share:

Saturday 29 April 2017

AJIRA ZA MADAKTARI APRIL 2017


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT,
GENDER, ELDERLY AND CHILDREN

ANNOUNCEMENTS:

The Ministry of Health in Tanzania has announced the list of employed Medical Doctors and Health Specialists (April 2017) and their working stations.

Click HERE to read the announcement

Click HERE to download the list

Source: Ministry of Health Official Website
Share:

BREAKING NEWS:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WAFANYAKAZI WENYE VYETI FEKI MIKOA YOTE TANZANIA

Habari zenu,

Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG ni kukupa kitu roho inapenda,tumekuweke hapo chini orodha yenye majina ya watumishi wenye vyeti feki TANZANIA.


WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI WENYE VYETI FEKI 

<<BONYEZA HAPA>>

KWA WAFANYAKAZI WA TAASI ZA SERIKALI MFANO,UDSM 
Share:

AUDIO | Sholo mwamba - Namba moja(Usije Mjini) | Download

Share:

Saturday 22 April 2017

SERIKALI KUMWAGA AJIRA 52,436




SERIKALI inakusudia kuajiri watumishi wapya 52,436 katika mwaka ujao wa fedha.

Ajira hizo mpya ni tofauti na zile za madaktari 258 na wataalamu wa afya 11 waliotangazwa kuajiriwa Jumatano wiki hii baada ya kupeleka maombi na kukidhi vigezo kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ajili ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya.
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL TAREHE 22.4.2017

Share:

Friday 21 April 2017

PICHA MBALIMBALI USALAMA FC MABINGWA WA SOKA MOA WA SIMIYU WAKIPOKEA KOMBE LAO LEO MJINI MASWA

Image may contain: 2 people, indoor
 DC MASWA,DK SEIF SHEKALAGHE MWENYEKITI KAMATI YA KUHAMASISHA USALAMA FC ISHINDE.Hayo yameafikiwa ktk kikao cha pamoja kati ya Viongozi wa Timu ya Usalama Fc ya Maswa na baadhi ya Wadau wa soka wilayani Maswa ktk hafla fupi ya kupokea kombe la ubingwa wa soka mkoa wa Simiyu.
 Image may contain: 9 people, people standing
Kombe hilo Usalama Fc inayomilikiwa na jeshi la polisi wilayani Maswa walilitwaa na sasa wamelikabidhi wa Mkuu wa wilaya ya Maswa ofisini kwake.

 Image may contain: 1 person, sitting, table and indoor
Lengo la kamati hiyo ni kuhakikisha Usalama Fc inafanya vizuri ktk ligi ya mabingwa wa mikoa na kusonga mbele.Angalia picha mbalimbali za tukio hilo ofisini kwa DC Maswa.

Image may contain: 1 person, sitting, table and indoor

Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRIL 21 2017

Share:

Tanzania Kupeleka Rwanda walimu wa Kiswahili

Share:

Saturday 15 April 2017

MWIGULU NCHEMBA -HATUTOKUBALIANA NA MTANDAO UNAOHUSIKA KUGHARIMU MAISHA YA ASKARI AMA WANANCHI WASIO NA HATIA

Na Mwamvua Mwinyi,Kibiti
Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRIL TAREHE 15.4.2017



Share:

Friday 14 April 2017

AUDIO | Harmonize X Rich Mavoko - Show Me | Download


Harmonize X Rich Mavoko - Show Me
Share:

Thursday 13 April 2017

MADUDU AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017: WALIMU WA ARTS NA WAAJIRIWA


Habari zenu,

Kama ilivyo kawaida yetu MASWAYETU BLOG TEAM tupo kikamilifu kukupa kila kitu tunachokipata ili uweze kukifahamu.


Ajira mpya za ualimu zimetangazwa ,huku zikisema ni kwa ajili ya walimu wa sayansi na hisabati,cha kushangaza kuna walimu wa arts wameajiriwa,je huku ni kukosa weredi katika utendaji kazi?Setikali inaombwa ilitazame hili.

MFANO WA MAJINA YA ARTS YA WALIOAJIRIWA HAYA HAPO CHINI;




Share:

Wednesday 12 April 2017

BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017

Hatimaye serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza majina ya walimu walioajiriwa mwaka 2016/2017.

MASWAYETU BLOG tumejipanga na tumewawekea majina hayo bila taabu yoyote.
Share:

TAARIFA MUHIMU KWA WALIMU WAPYA KUHUSU SIKU YA KURIPOTI KATIKA KITUO CHAKO CHA KAZI 2016/2017




 

JAMHURI YAMUUGANO WA TANZANIA

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO APRIL TAREHE 12.4.2017

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger