Friday 15 August 2014

ORODHA YA MAJINA TAKRIBANI 986 YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA MIFUGO 2014/2015-DIPLOMA NA CHETI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                     
                


         WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
TANGAZO LA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KAMPASI ZA
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) KWA MWAKA WA MASOMO 2014 / 2015
  1. WANACHUO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA YA AFYA NA UZALISHAJI WA MIFUGO MWAKA MMOJA (DAHP NTA LEVEL 6) MWAKA 2014/2015


Habari yenu wadau wa blog hii ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT,leo tumewaletea majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo vya mifugo 2014/2015.

kama ilivyo kawaida yetu  kwa wale wote mtakaohitaji huduma ya kuangaliziwa jina lako itakubidi ufanye yafuatayo;


-TUMA SMS YENYE JINA LAKO,TAJA SHIDA YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
-WAKATI HUO HUO TUMA TSHS.100 kwa MPESA KAMA GHARAMA YA SMS WAKATI WA KUJIBIWA ,UKITUMA JINA BILA SH.100 HUTAJIBIWA SMS YAKO.

Tafadhali angalia majina hayo hapa;

  1. WANACHUO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA YA AFYA NA UZALISHAJI WA MIFUGO MWAKA MMOJA (DAHP NTA LEVEL 6) MWAKA 2014/2015
1.  
1.       KAMPASI YA MADABA
NA
JINA
JINSI
ANUANI
MFADHIILI

ADELA J. KIVUNJE
Ke
BOX 20 TANGA
BINAFSI

AGNES A. MAIDA
Ke
BOX 1333 SONGEA
BINAFSI

AGRIPINA B. CHARLES
Ke

BINAFSI

ALPHONCE M. MWAMGOGWA
Me
BOX 6191 MBEYA
BINAFSI

ALPHONCE S. CLEOPA
Me
BOX 28001 KISARAWE
SERIKALI

AMINA RASHID BENGESI
Ke
Box 67600 DSM
BINAFSI

Share:

BREAKING NEWZ:SERIKALI YATANGAZA NEEMA KWA KIDATO CHA NNE(DIV.I,II&III),SASA WATAKAO SOMA DIPLOMA KULAMABA BOOM Tsh.6000 KWA SIKU APPLICATION KUANZA 1ST AUGUST-9TH SEPTEMBER.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                       

Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia taasisi yake inayohusika na mikopo yaani BODI YA MIKOPO KWA WANFUNZI WA ELIMU YA JUU imepitisha kuwa kwa wanafunzi wote watakao soma diploma ya MATHEMATIC/SCIENCE with education pamoja na Diploma ya primary teaching itakayotolewa katika chuo kikuu cha dodoma(program mpya ) Watasomeshwa bure sifa kubwa uwe umemaliza kidato cha nne 2009-2013 na kufaulu kwa division I,II&III.

Maswayetu blogspot hatupo mbali katika kuhakikisha wewe mdau maarufu na bora wa blog hii,endapo utataka kuelezewa zaidi kuhusu tangazo hili kwa kuuliza swali lako kwa njia ya sms kwenda namba 0768260834  ili kujibiwa inabidi uambatanishe na tsh.100 gharama ya sms wakati wa kukujibu(ni muhimu naomba izingatiwe).

Tafadhali soma taarifa hiyo wewe mwenyewe hapa chini pia mjulishe na mwenzako.

GUIDELINES AND CRITERIA FOR ISSUANCE OF LOANS TO STUDENTS ADMITTED TO PURSUE DIPLOMAS IN SCIENCE/MATHEMATICS WITH EDUCATION UNDER SPECIAL PROGRAMME FOR 2014/2015 ACADEMIC YEAR

BACKGROUND

As part of implementation of the National Higher Education Policy of 1999, the Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) was established under Act No. 9 of 2004 and commenced operations in July, 2005.  Among other things, the Board has been entrusted by the Government with the responsibility of issuing loans to students pursuing Higher Diplomas,  and degree studies at accredited higher education institutions in and outside the Country and to collect repayment for all loans issued to students since 1994, so as to make the scheme successful and sustainable.
Share:

Thursday 14 August 2014

TUNDU LISSU ATANGAZA HADHARANI NIA YAKE YA KUWA RAIS WA TANZANIA,ATAKA KUMFUNDA MWIGULU NCHEMBA UONGOZI

tundu
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

 MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.

Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake atajitosa kwenye
Share:

Wednesday 13 August 2014

NECTA:UFAFANUZI WA KUTOKUTUMIKA KWA ALAMA ZA MASOMO YA HIARI KATIKA MATOKEO YA ACSEE 20142014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

f UFAFANUZI WA KUTOKUTUMIKA KWA ALAMA ZA MASOMO YA HIARI KATIKA MATOKEO YA ACSEE 2014

Baadhi ya wadau wamekuwa wakitaka kujua utaratibu uliotumika kukokotoa pointi za madaraja katika matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) 2014. Hii imetokana na kuona kuwa kuna baadhi ya masomo hayakujumuishwa katika kupata idadi ya pointi kwa watahiniwa wa Tanzania Bara na wale wa Zanzibar.

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha wadau wote kuwa ukokotoaji wa pointi za madaraja kwa watahiniwa wa Mtihani wa Kidato cha Sita huzingatia masomo ya Tahasusi (Subject Combinations) aliyoyasoma mtahiniwa kama ilivyobainishwa katika Kanuni za Mitihani (The Examinations Regulations) Toleo la mwaka 2013 kifungu cha 23(1) kinachosomeka:
Share:

Tuesday 12 August 2014

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KOZI MBALIMBALI 2014/2015 CHETI NA DIPLOMA -SAUT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                         
Share:

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA 4 WALIOCHAGULIWA UDOM-2014/2015-DIPLOMA UALIMU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

THE UNIVERSITY OF DODOMA
COLLEGE OF EDUCATION
SELECTED CANDIDATES TO JOIN INTO DIPLOMA IN PRIMARY TEACHER EDUCATION
S/N
FIRST NAME
Middle Name
SURNAME
SEX
FORM IV INDEX No
1
Izengo

PAULO
M
S0138/0080/1999
2
Mary
S
JOACHIM
F
S0806/0055/2005
3
Neema
W
CHODOTA
F
S312/68/1987
4
 Ibrahim

MOHAMED
M
S0666/0036/1998
5
Ally
M
KYUTA
M
S0413/0092/2001
6
 Philimon

MPALANZI
M
S0652/0071/1996
7
Lenson

MKOFU
M
S0109/0071/2008
8
Daudi

GREGORY
M
S1018/0014/2002
9
Jenifer

MILANZI
F
S0215/0032/1999
10
Lilian
P
KOMBE
F
S0205/0102/1995
11
Ally

MOHAMED
M
S0108/0057/1998
12
Modesta

JANUARY
F
P1151/0042/2002
13
 Lightness
L
KIMARO
F
S0627/0032/2006
14
Flora
J
KESSY
F
S0306/0043/2006
15
Oliva
E
TARIMO
F
S0236/0038/2005
READ MORE
KHASANTE KWA KUTEMBELA MASWAYETU BLOG
kwa maoni ushauri piga 0768260834 thanks.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger