Friday 30 May 2014

MKE WA MTU SUMU!!..AKODI NGOMA KUMFUMANIA MKE! MTAA WAFUNGWA KWA CHEREKO CHEREKO,POLISI WATINGA


AMA kweli dunia ina mambo na mambo yenyewe ndiyo haya! Katika hali ya kushangaza, mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ramadhan Ally, mkazi wa Kata ya Mbuyuni Manispaa ya Morogoro amewashangaza wengi kufuatia uamuzi wake wa kukodi ngoma ya asili kwa lengo la kwenda kumfumania mkewe aliyejulikana kwa jina moja la Asha.
Mwanadada aliyetambulika kwa jina la Asha baada ya kufumaniwa akisindikizwa na ngoma.
Tukio hilo lililofunga mtaa lilijiri asubuhi ya saa 3:14  Jumatatu iliyopita eneo maarufu kwa jina la Sultani baada ya mwanaume huyo kutonywa kuwa, mke wake alikuwa amelala kwa rafiki yake kipenzi, Abdallah Elias.
Baadhi ya wananchi waliobahatika kuwasili katika eneo la tukio walishuhudia mwenye mali akiwashushia kichapo kikali ‘wasaliti’ hao ambapo vurugu zikapamba moto.
Share:

NI ZAIDI YA LAANA! MZUNGU DAR AMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE



KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake.
Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo la kinyama Mei 26, mwaka huu na inadaiwa Aneth alipomkatalia, alimtimua nyumbani hapo kwa kumtupia virago.
Share:

LULU ATEMBEA ‘MATITI’ NJE!


MSANII wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvukwa na gauni alilokuwa amevaa na kulazimika kutembea huku sehemu kubwa ya kifua chake ikiwa wazi.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika kiwanja kimoja kichopo mjini Arusha ambapo mmoja wa watu aliyemtia machoni Lulu aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema:
Msanii wa filamu Bongo, Elizaberth Michael ‘Lulu’.
Share:

KIMENUKA BONGO MOVIE!!..STEVE NYERERE, BABA HAJI WATAKA KUZICHAPA MSIBANI

MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’ nusura wazichape baada ya kupishana kauli.

Mwenyekiti  wa Bongo Muvi, 'Steve Nyerere' (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho.
‘Uwanja wa vita’ ulikuwa ni kwenye msiba wa mwigizaji mwenzao Sheila Haule ‘Recho’, Sinza-Palestina, jijini Dar ambapo chanzo kilishuhudia mtiti huo, kilidai tatizo liliibuka mara baada ya Steve Nyerere kumchimba mkwara Baba Haji asijiweke karibu na Jacob Steven ‘JB’.
Share:

RACHEL AMUUMIZA WASTARA


KIFO cha msanii wa filamu, Rachel Haule kimewaumiza wengi lakini baadhi yao ni wasanii wenzake, Halima Yahaya ‘Davina’ aliyeachiwa hausigeli wa marehemu katika mazingira ya ajabu huku Wastara Juma akiumizwa na viatu na pochi alivyopewa na Rachel kabla hajafariki dunia.
Msaniii wa Bongo Movie Halima Yahaya ‘Davina’ akiwa na simanzi kubwa.
Akizungumza na Ijumaa juzi, Davina alisema alihangaika sana kumtafutia Rachel hausigeli ili atakapojifungua asipate shida lakini siku moja kabla ya kifo, alipompigia simu akitaka ampelekee mtu wake simu haikupokelewa hadi alipopata taarifa za kifo.
Share:

Thursday 29 May 2014

NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA TU NILIPOONANA NA MAPEMA LEO HII"

                                            


NJAA NJAA NJAA"HAYA NI MANENO YA WANAFUNZI SUA-MARA NILIPOONANA NAO" HUKU WENGINE WAKISEMA TUMECHOKA NA PASI NDEFU,WENGINE PIA WAKISEMA MAISHA MAGUMU.
HUKU WENGINE WAKISEMA "NITAWEZAJE KULA KWA FOLENI PECAM?",NA MWINGINE AKISEMA NITATUMIA MOZILA FIRE FOX HADI LINI???
                                               

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA KILIMO SOKOINE KILICHOPO MJINI MOROGORO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU KUTOKANA NA KUTOKUWA NA PESA YA CHAKULA.

WAKIZUNGUMZA KWA NYAKATI TOFAUTI BAADHI YA WANAFUNZI WA CAMPUS YA MAZIMBU NA MAIN WAMESEMA KUWA HADI SASA HAWAJUI HATIMA YAO NI NINI KUTOKANA NA KUTOKUWA NA HATA SENTI TANO YA KULA HUKU WAKIENDELEA KUMUOMBA MUNGU KILA SIKU WAAMKE VIZURI.
Share:

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993 - 5

Tulieleza jinsi wabunge 55 walivyotaka kuirudisha Serikali ya Tanganyika na jinsi baadhi yao ‘walivyonyamazishwa’ kwa kupewa uwaziri na Mwalimu Julius Nyerere alivyozima hoja.
Share:

MAASKOFU, FREEMASON...

BAADHI ya viongozi wa dini nchini wamesema kwamba Watanzania wengi wamekuwa na imani na mambo ya kishirikina wakiamini kuwa wanaweza kubadili maisha kwa njia ya kuwa wanachama wa Imani ya Freemason badala ya kutumia akili huku wakiweka imani kwa Mungu.
Share:

AUNTY LULU, BWANA’KE WAMWAGANA

LILE penzi la msanii wa filamu na mtangazaji, Lulu Mathias na mchezaji mpira wa zamani, Amani limesambaratika baada ya hivi karibuni mwanaume huyo kuondoka na kilicho chake huku akimwacha mwanadada huyo ndani ya nyumba peke yake.
Share:

MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA


Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabarani.
Share:

HOFU YATANDA WASAMARIA WEMA WAINGIA MITINI DHAMANA YA WAZAZI WA MTOTO WA BOKSI

HATIMAYE wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitini.
Share:

THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!



RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS…
Share:

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

                                         1_69adb.jpg
2_ec565.jpg
3_a9bf2.jpg
Share:

TAZAMA MTO RUVU


Bagamoyo.
Share:

BAADHI YA MUVI ALIZOCHEZA MAREHEMU RECHEL HAULE


Marehemu Racheal Haule enzi za uhai wake.
Share:

AIBU MUME WA FLORA MBASHA AMEMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 17




Dar es Salaam.Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili,
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger