NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu akimkabidhi hundi ya Shilingi Milioni moja (1,000,000/=) kwa mshindi wa kwanza wa Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu akimkabidhi hundi ya Shilingi laki saba (700,000/=) mshindi wa pili wa Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu akimkabidhi hundi ya Shilingi Laki tano (500,000/=) kwa mshindi wa tatu wa Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu akikabidhi vyeti kwa washiriki wa Mashindano ya Muziki kwenye Tamasha la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu akizungumza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM),Prof.William Anangisye akizungumza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es salaam-UTAFITI Prof.Benadeta Killian akizungumza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Mkuu wa WWilaya ya Ubungo Mhe.Kheri James akizungumza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Mmoja wa wasanii wa nyimbo za kinyaturu mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitumbuiza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Mmoja wa wasanii wa nyimbo za kisukuma mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitumbuiza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Mmoja wa wasanii wa nyimbo za kimakonde mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam akitumbuiza katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Kwaya Kuu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakitumbuiza katika katika Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Wanamuziki Farid Kubanda (Fid Q) pamoja na Hamis Mwijuma (Mwana FA) wakifuatilia Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakifuatilia Shindano la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho yaliofanyika UDSM tarehe 29/01/2022.
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa,Tamaduni na Michezo Mhe.Said Yakubu (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kheri James( wa pili kushoto), Makamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof.William Anangisye (wa pili kutoka kulia) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es salaam-UTAFITI Prof.Benadeta Killian wakiimba wimbo wa Taifa katika Tamasha la Muziki la Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha dar es Salaam kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Chuo hicho.









Zoezi likiendelea la kuteketeza vipodozi viambata sumu vyenye uzito wa Tani moja na thamani ya millioni 70 ambavyo vilikamatwa katika kaguzi mbalimbali zilizofanywa hivi karibuni na TBS katika mikoa ya kanda hiyo ambayo ni Arusha, Kilimanjaro,Manyara na Tanga.
Zoezi likiendelea la kuteketeza vipodozi viambata sumu vyenye uzito wa Tani moja na thamani ya millioni 70 ambavyo vilikamatwa katika kaguzi mbalimbali zilizofanywa hivi karibuni na TBS katika mikoa ya kanda hiyo ambayo ni Arusha, Kilimanjaro,Manyara na Tanga.
Mkaguzi wa TBS Kanda ya kaskazini Bw.William Mhina akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuteketeza vipodozi viambata sumu vyenye uzito wa Tani moja na thamani ya millioni 70 ambavyo vilikamatwa katika kaguzi mbalimbali zilizofanywa hivi karibuni na TBS katika mikoa ya kanda hiyo ambayo ni Arusha, Kilimanjaro,Manyara na Tanga.






















