Tuesday, 30 April 2019

Polisi Njombe yaua majambazi wawili, mmoja atoroka

Na Amiri kilagalila-Njombe Jeshi la Polisi Mkoani Njombe limefanikiwa kuwaua majambazi wawili kati ya watatu waliokuwa wakijaribu kupora mali kwa kutumia Jambia,kisu na Panga. Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ACP Salum Hamduni,amesema tukio hilo limetokea...
Share:

Fisi Wazua Gumzo Na Kuwa Tishio Kahama

Kundi kubwa la  wanayama aina ya fisi limewajeruhi watu  watano  sehemu mbalimbali za miili yao katika  kata za  Nyandekwa na Kilago halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga wakati wakijaribu kupambana na fisi hao waliovamia makazi ya watu.   Diwani wa Kata ya Kilago...
Share:

Maandalizi Ya Sherehe Za Mei Mosi Yapamba Moto Sokoine Mbeya.

NA.MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amekagua maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi na kusema ameridhishwa na hatua zilizofikiwa. Ametoa kauli hiyo Aprili 29, 2019 baada ya kupokea taarifa ya mbalimbali...
Share:

Waziri Mhagama Awaasa Wafanyakazi Kutimiza Wajibu Wao

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista mhagama amewaasa wafanyakazi nchini kufanya kazi kwa bidii na uzalendo ili kuendelea kutimiza wajibu wao na kujiletea maendeleo nchini. Ametoa kauli hiyo jana Aprili 29, 2019...
Share:

Kiongozi wa IS Abu Bakr al-Baghdad ajitokeza katika kanda ya video baada ya miaka 5

Kundi la kigaidi la Islamic State limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka mitano, kiongoza wa kundi hilo Ibrahim as-Samarrai, mashuhuri kama Abubakr al-Baghdadi. Kundi hilo lilisambaza mkanda huo wa dakika 18 kupitia moja ya mitandao yake ya kijamii...
Share:

Marekani yasisitiza kuendelea kuisaidia Saudia katika vita vyake dhidi ya Yemen

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ametetea msaada na ushirikiano wa nchi hiyo na Saudi Arabia katika vita vyake dhidi ya watu wa Yemen kwa kudai kuwa jambo hilo ni lenye maslahi makubwa kwa Marekani. Mike Pompeo alitoa matamshi hayo jana Jumatatu akiashiria mashambulio ya makombora ya kulipiza kisasi...
Share:

Wanajeshi 30 wa Nigeria watoweka kufuatia shambulizi la Boko Haram

Wanajeshi watano wa Nigeria wameuawa na wengine 30 kutoweka kufuatia shambulizi lililofanywa na magaidi wa Boko Haram katika kambi ya wanajeshi hao. Katika shambulio lililofanywa na magaidi hao jana Jumatatu katika kambi ya wanajeshi hao huko katika mji wa Maiduguri, magaidi walifanikiwa kuiteka...
Share:

Serikali Kuanzisha Mnada wa Kokoa Kyela

Serikali imesema itaanzisha mnada wa kuuza zao la kokoa linalozalishwa Kyela mkoani Mbeya. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa bungeni leo Aprili 30, amesema mkakati wa Serikali ni kutafuta wanunuzi wakubwa...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne April 30

...
Share:

Monday, 29 April 2019

YANGA SC YAINYAMAZISHA AZAM FC YAICHAPA 1-0

YANGA SC imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Uhuru, zamani Taifa mjini Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga SC leo ni mchezaji wake kipenzi cha mashabiki, Mrisho Khalfan Ngassa aliyefunga bao hilo pekee dakika ya 13 akimalizia krosi...
Share:

WAZIRI MKUU AZINDUA MAABARA YA TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zinazofanya uhakiki na upimaji bidhaa nchini zijirekebishe na ziongeze kasi ya utoaji matokeo kwa wateja. "Kumekuwa na malalamiko kutoka mipakani juu ya bidhaa zinazochukuliwa ili zikapimwe kwamba zinachukua muda mrefu. Punguzeni urasmi huo ili kufanya...
Share:

Mfumo Wa Taifa Wa Takwimu Za Mtakuwwa Kusaidia Kupunguza Ukatili Dhidi Ya Wanawake Na Watoto

NA: MWANDISHI WETU Mfumo wa Taifa wa takwimu za MTAKUWWA utasaidia kwa kiasi kikubwa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto nchini. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na Mipango kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Asanterabi Sang’enoi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wadau...
Share:

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini Afanya Mabadiliko ya Baadhi ya Makamanda wa Mikoa

...
Share:

IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo la Mashariki ya Kati

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema leo kwamba vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, kuongezeka kwa machafuko katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini na tatizo la bei ya mafuta vinadhoofisha ukuaji wa kiuchumi katika kanda hiyo.  Mkurugenzi wa IMF wa Idara ya Mashariki ya Kati na ya Asia...
Share:

Majeshi ya majini ya Iran na Urusi kufanya mazoezi Ghuba ya Uajemi

Majeshi ya majini ya Iran na Urusi yanapanga mazoezi ya pamoja na ya kipekee katika Ghuba ya Uajemi baadaye mwaka huu. Hayo yametangazwa na Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeri Hossein Khanzadi ambaye ameyadokeza hayo alipozungumza na waandishi habari mapema leo ...
Share:

Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu Yashauriwa kuweka fedha za wanafunzi moja kwa moja kwenye akaunti zao binafsi

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendelo ya Jamii, imeishauri Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu (HESLB) kuweka fedha za kujikimu za wanafunzi moja kwa moja kwenye akaunti zao binafsi ili kuepuka changamoto zinazojitokeza. Akisoma hotuba ya Kamati hiyo kwa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia...
Share:

POLISI KUKAMATA WANAOTEMBEA WAMELEWA POMBE MTAANI

Polisi nchini Uganda inapania kuzindua mpango wa kuwakamata watembea kwa miguu watakaopatikana wakiwa walevi. Akitetea mpango huo mpya kamanda wa trafiki katika jiji la Kampala Lawrence Niwabiine amesema kikosi cha polisi hakitaruhusu watu "wahatarishe"maisha yao. Tayari vyombo vya habari nchini...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger