Monday, 14 July 2025

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JULAI 14,2025

Magazeti





 





















Share:

Sunday, 13 July 2025

PROMO CODE YA PMBET |PMBET PROMO CODE


Pmbet ni kampuni ya kubeti Tanzania inavyofanya kazi TANZANIA tangu mwaka 2017 iliyosajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. Pmbet tz (playmaster Tanzania ) imekuwa ikitoa huduma za ubashiri wa mitandaoni na katika maduka. Katika makala hii tutazungumzia promo code ya Pmbet na jinsi ya kujisajili Pmbet Tanzania. Je promo code ya Pmbet Ni ipi? Promo code ya Pmbet Ni A84, ikiwa unahitaji promo code ya Pmbet Jaza A84

YALIYOMO

1.Promo code ya Pmbet

2. Jinsi ya kujisajili Pmbet Tanzania

3. Faida za promo code ya Pmbet

4. Michezo inayopatikana pmbet

5. Hitimisho & Reference


PROMO CODE YA PMBET TANZANIA

Kama tulivyokwisha kuitaja hapo juu kuwa promo code ya Pmbet Tanzania Ni A84, promo code hii Ni msimbo maalumu utakaoutumia wakati walijisajili na Pmbet Tanzania. Kumbuka bila kuwa na promo code ya Pmbet tanzania hutoweza kufungua account ya Pmbet na kufurahia huduma za Pmbet tanzania. Ingia katika tovuti ya Pmbet tanzania jisajili kwa kujaza namba yako yasimu, password yako, majina yako, tarehe na mwaka wa kuzaliwa, sehemu ya promo code ya Pmbet utatakiwa kujaza A84


JINSI YA KUJISAJILI NA PMBET

Kufungua account ya Pmbet Ni rahisi , tembelea tovuti ya Pmbet , Jaza taarifa tajika Kama namba yako ya simu, bila kuanza na 0, Kisha Jaza password yako, dhibitisha password yako kwa kujaza Tena (NB. Lazima ifanane) Jaza tarehe nabmwaka wakuzaliwa, Jaza jina lako na la ukoo, Jaza promo code ya Pmbet tz ambayo ni A84 , kamilisha kwa kubofya jisajili (Register)

Kuweka pesa Pmbet unaweza kuweka pesa kwa Pmbet tanzania kwa njia ya M-PESA, Tigo pesa, Airtel money, Selcom, au Halopesa


Link ya Pmbet Bofya Hapa


FAIDA ZA PROMO CODE YA PMBET

Zipo faida mbalimbali unazoweza kuzipata kwa kuwa na promo code ya Pmbet , faida hizo Ni Kama zifuatazo, kupokea spin za bure na freebet pale utakapodeposit kwenye account yako ya Pmbet, kuweza kujisajili na Pmbet. 

Kumbuka Kama tulivyokwisha kuitaja hapo juuu kuwa bila kuwa na Pmbet promo code hutoweza kujisajili na kufurahia huduma za Pmbet Kama vile malipo ya haraka kwa wateja, huduma nzuri kwa wateja 24/7, odds kubwa za kubeti, michezo mingi ya kasino Kama vile JetX, Aviator, roulette, live casino na michezo mingine mingi inayoweza kukupa ushindi mkubwa kwenye betting.


MICHEZO INAYOPATIKANA KWENYE APP NA TOVUTI YA PMBET

Katika tovuti na app ya Pmbet tz ipo michezo mingi inayoweza kukupa ushindi Kama vile kubashiri mpira wa miguu, Pete, mkon9, boxing, cricket, kuogelea, michezo ya barafu, casino mbalimbali, Aviator tanzania , JetX, crash game, crazy rocket, live casino, keno, chukua tano, huku ukiwa katika nafasi nzuri ya Kushinda gari, simu, pesa taslimu kwa kucheza slots za matunda.


HITIMISHO

IKiwa unapata changamoto yeyote wakati wa kujisajili au kutumia huduma za Pmbet tz wasiliana na huduma kwa wateja Pmbet tanzania kwa kutumia e-mail, support@pmbet.comtz

Kwa maelezo zaidi tembelea https://www.masshele.com

 


Share:

WANAWAKE VIONGOZI VIJIJINI WAJENGEWA UWEZO KUBORESHA HUDUMA ZA WASH




Na Deogratius Koyanga, Hanang’ DC

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’, Bi. Teresia Irafay, amesema kuwa Halmashauri yake imejipanga kuhakikisha mchakato wa maandalizi ya mipango na bajeti unazingatia usawa wa kijinsia ili kuboresha huduma za afya, maji na usafi wa mazingira katika jamii. 

Akizungumza wakati wa kufunga warsha ya siku mbili ya kuwawezesha wanawake viongozi wa vijijini kuhusu masuala ya afya, maji na usafi wa mazingira (WASH), iliyoandaliwa na shirika la WaterAid Tanzania katika mradi wa Afya ya Mwanamke sasa, Bi. Irafay alisema kuwa Halmashauri itaendelea kujenga mazingira wezeshi kwa wanawake kushiriki kikamilifu katika kupanga na kufuatilia utekelezaji wa huduma hizi muhimu.

Warsha hiyo iliyofanyika Hanang’ na kushirikisha jumla ya washiriki 47, ililenga kuwajengea uwezo wanawake viongozi kutoka serikali za vijiji katika kuelewa kwa kina dhana ya huduma bora za afya, maji na usafi wa mazingira, kutambua changamoto zilizopo na namna ya kuziorodhesha kwenye mipango ya maendeleo kupitia mchakato wa O&OD (Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo), pamoja na kujiamini kufuatilia utekelezaji wake kupitia mikutano ya kijiji na kata. 

Bi. Irafay alieleza kuwa tayari amemwagiza Afisa Mipango wa Halmashauri kuhakikisha mahitaji ya jamii yanayoibuliwa kupitia O&OD, hasa yale yanayowahusu wanawake, wazee, watoto na watu wenye ulemavu, yanapewa uzito unaostahili. 


Alisisitiza kuwa kwa mwaka wa fedha 2026/27, Halmashauri itahakikisha maeneo ya maji na usafi wa mazingira yanawekwa kwenye vipaumbele, sambamba na kutenga bajeti kwa ajili ya kutoa elimu ya kijinsia kwa jamii ili kuondoa vikwazo vya kihistoria vinavyowazuia wanawake kunufaika kikamilifu na huduma hizi.


Katika warsha hiyo, wanawake walijifunza mbinu shirikishi za kupanga maendeleo ya jamii, namna ya kutumia nafasi zao kushawishi maamuzi ya maendeleo kwenye mikutano rasmi, na mikakati ya pamoja ya kuhamasisha jamii kushiriki katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya WASH kwenye vituo vya afya, shule na maeneo ya makazi. 

Bi. Irafay alibainisha kuwa dhamira ya Halmashauri ni kuhakikisha kuwa mtoto wa kike wa Hanang’ anapata elimu katika mazingira salama, yenye miundombinu rafiki, hasa wakati wa hedhi. 

Aliongeza kuwa katika mwaka ujao wa fedha, Halmashauri itaweka bajeti ya kuboresha vyoo shuleni, kuweka maji ya uhakika, na kutoa elimu ya afya ya uzazi na hedhi salama kwa wanafunzi wa kike ili waweze kusoma bila vikwazo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Sera, Ushawishi na Utetezi, kutoka shirika la WaterAid Tanzania, Bi. Christina Muhando, alisema kuwa taasisi yao itaendelea kushirikiana na serikali katika kujenga uelewa kwa jamii kuhusu umuhimu wa huduma jumuishi za WASH. 

Alisema kuwa WaterAid kwa kushirikiana na wadau kama TGNP imekuwa ikitekeleza miradi ya kuongeza uelewa wa kijinsia katika WASH kwa kuhakikisha kwamba wanawake, wazee, watoto na watu wenye ulemavu wanapewa nafasi sawa ya kushiriki na kunufaika.

 Bi. Muhando alieleza kuwa elimu inayotolewa kupitia programu za WaterAid imeanza kuleta mabadiliko chanya ya kijamii ambapo wananchi wengi sasa wamehamasika kujitokeza kuboresha miundombinu ya maji, vyoo na huduma za afya katika maeneo ya wazi na kwenye makazi yao.

Kwa mujibu wa ripoti ya WaterAid ya mwaka 2023, takriban asilimia 40 ya vituo vya afya nchini Tanzania havina huduma ya maji ya uhakika, hali inayoweka maisha ya wanawake wajawazito na watoto wachanga katika hatari kubwa. 

Hali hiyo inaenda kinyume na malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG 6) yanayolenga kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na usafi kwa wote ifikapo mwaka 2030. Vilevile, Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002, Sera ya Afya ya mwaka 2007, na miongozo ya TAMISEMI kuhusu ushirikishwaji wa jamii katika upangaji wa maendeleo, zinatoa mwongozo wa wazi kuhusu umuhimu wa kuzingatia masuala ya kijinsia katika upangaji wa huduma za jamii hususan sekta ya WASH.

Warsha hiyo ilizaa maazimio ya vitendo ya kuunda mitandao ya wanawake viongozi kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji, afya na usafi wa mazingira, pamoja na kuwa mabalozi wa kuelimisha jamii kuhusu wajibu wao katika kuhakikisha huduma bora zinapatikana.

 Wanawake walisisitiza kuwa watatumia nafasi zao katika Kamati za Maendeleo ya Vijiji (VDCs) na mikutano ya kijiji kuhoji uwajibikaji na kushawishi upangaji wa bajeti jumuishi zinazojibu mahitaji ya makundi yote katika jamii.

Kwa kuzingatia vipaumbele vya taifa na mikataba ya kimataifa, kama vile Mkataba wa CEDAW na Azimio la Beijing, warsha hii inadhihirisha kuwa uwekezaji katika uongozi wa wanawake vijijini ni nguzo muhimu ya kufanikisha huduma jumuishi na endelevu za afya, maji na usafi wa mazingira.

 Kama alivyosema Bi. Irafay, “Tunahitaji kuona mtoto wa kike wa Hanang’ akisoma vizuri shuleni, apate mahitaji muhimu ili atulie darasani. Tutaendelea kuboresha mazingira ya kutolea elimu na huduma za afya kupitia miundombinu rafiki ya WASH katika jamii yetu.”

Kupitia ushirikiano kati ya serikali na mashirika ya kiraia, kama WaterAid na TGNP, mafanikio haya ni dalili kuwa mabadiliko yanawezekana, endapo wanawake watawezeshwa na kushirikishwa kikamilifu katika mchakato wa maendeleo.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JULAI 13,2025


Magazeti






Share:

Saturday, 12 July 2025

BIL 5.7 KUKAMILISHA UJENZI SHULE MBILI SIHA-KILIMANJARO


Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa jumla ya shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

Kati ya fedha hizo, jumla ya shilingi Bilioni 4.450 zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Kilimanjaro, ambayo tayari imeanza kufanya kazi huku ikiendelea na ukamilishaji wa maeneo yaliyosalia.

Kati ya fedha hizo jumla ya shilingi Milioni 352.509 zimetumika kukamilisha ujenzi wa Miundombinu ikiwemo ujenzi wa vyumba 12 vya madarasa, Ofisi 3 za walimu na matundu 3 ya vyoo vya walimu, Shilingi milioni 65.2 zimetumika kukamilisha ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu ya vyumba vitatu, Shilingi milioni 61.370 zikiwa zimetumika kukamilisha ujenzi wa nyumba ya afya (Sick Bay), Shilingi milioni 194.067 zimetumika kukamilisha ujenzi wa jengo la utawala sambamba na shilingi Milioni 104.640 zikitumika kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mwalimu ya moja kwa mbili (2 in 1).

Shilingi Milioni 225.069 zimetumika kukamilisha ujenzi wa vyumba 4 vya maabara ya Fizikia, Baiolojia, Kemia na Jiografia. Shilingi milioni 50.871 zimetumika kukamilisha ujenzi wa matundu 16 ya vyoo sambamba na shilingi Bilioni 1.101 zikitumika kukamilisha ujenzi wa mabweni 8, Shilingi Bilioni 1.092 zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa Bwalo, Shilingi milioni 7.2 zimetumika kukamilisha ujenzi wa vichomea taka viwili pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa mashimo 9 ya maji taka kwa gharama ya shilingi milioni 59.631

Sambamba na fedha hizo pia katika awamu ya pili ya mradi wa SEQUIP serikali imetoa shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa madarasa 10, Mabweni 4, nyumba za walimu 3, Chumba cha TEHAMA na Maktaba.

Wakati huo huo serikali imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya ya Amali ya inayojengwa katika kijiji cha Roseline kata ya Ndumeti katika Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro.

Ujenzi wa mradi huu upo katika hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa, Maktaba na jengo la utawala, Maabara ya Kemia na Baiolojia pamoja na chumba cha TEHAMA, Ujenzi wa choo cha matundu 8 na mabweni matatu, Ujenzi wa Karakana ya uashi na umeme, sambamba na Bwalo la chakula na nyumba ya mwalimu.
Share:

Friday, 11 July 2025

NILIIBIWA TENDA NILIYOPEWA KWA MIKONO YANGU LAKINI PETE YA BAHATI ILINIFANYA NITANGAZWE MSHINDI WA PILI BILA KUTARAJIA



Mpaka leo siamini kilichotokea. Nilikuwa nimepata tenda ya vifaa vya ujenzi kutoka halmashauri moja ya mkoa. Barua ya maelezo ya ushindi nilipewa kwa mkono na nilianza mchakato wa maandalizi.

Nilijua huu ndio ulikuwa mwaka wangu wa mabadiliko. Nilikuwa na mkopo wa benki uliosubiri kuhitimishwa mara tu malipo ya awali yatakapotolewa. Lakini siku moja, nilipokea simu isiyotarajiwa: “Samahani, kuna mabadiliko kwenye zabuni, kuna masuala ya kisheria yanayochunguzwa.” Nilishtuka. Soma zaidi
Share:

USIENDESHE CHOMBO CHA MOTO BILA LESENI!...KARIBU BRAVO LESENI NI UHAKIKA!

 


🛑 USIENDESHE CHOMBO CHA MOTO BILA LESENI!
BRAVO INSTITUTE OF TECHNOLOGY inakuletea 🔥 Mafunzo ya Udereva kwa magari, pikipiki na bajaji — kwa mfumo wa Manual na Video Technology!

✅ Mafunzo ya kisasa
✅ Tunakusaidia kupata Leseni haraka
✅ Punguzo la 12% kwa wanaojiunga sasa!

📍 Tunapatikana: Kwa Shungu, Mbasa - Ifakara, Morogoro
📞 Tupigie sasa:
📱 0769 763 285
📱 0754 422 122
🌍 Bonyeza hapa kuwasiliana WhatsApp

🟡 LESENI NI UHAKIKA – Jiunge Leo!
📢 Tupo katika mikoa yote Tanzania


Share:

Thursday, 10 July 2025

USIENDESHE CHOMBO CHA MOTO BILA LESENI!...KARIBU BRAVO LESENI NI UHAKIKA!

 


🛑 USIENDESHE CHOMBO CHA MOTO BILA LESENI!
BRAVO INSTITUTE OF TECHNOLOGY inakuletea 🔥 Mafunzo ya Udereva kwa magari, pikipiki na bajaji — kwa mfumo wa Manual na Video Technology!

✅ Mafunzo ya kisasa
✅ Tunakusaidia kupata Leseni haraka
✅ Punguzo la 12% kwa wanaojiunga sasa!

📍 Tunapatikana: Kwa Shungu, Mbasa - Ifakara, Morogoro
📞 Tupigie sasa:
📱 0769 763 285
📱 0754 422 122
🌍 Bonyeza hapa kuwasiliana WhatsApp

🟡 LESENI NI UHAKIKA – Jiunge Leo!
📢 Tupo katika mikoa yote Tanzania


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger