Friday, 31 January 2025
Thursday, 30 January 2025
ATCL YATANGAZA NAFASI 59 ZA AJIRA KWA WATANZANIA
Wednesday, 29 January 2025
ELIMU YA URAIA, UTAWALA BORA YAWAFIKIA NEWALA
WATUMISHI THBUB WATAKIWA KUTUMIA MIKUTANO YA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI MAMBO YANAYOLETA TIJA
Watumishi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wametakiwa kutumia mikutano ya Baraza la wafanyakazi kujadili mambo yanayoleta tija katika kuongeza ufanisi wa kazi.
Bi. Msemwa amesema kuwa Baraza la Wafanyakazi ni sehemu sahihi ya kujadili, kushauri na kutoa mapendekezo juu ya njia sahihi ya kuongeza ufanisi wa kazi utakaosaidia kuweka mazingira mazuri kwa Wafanyakazi na Taasisi kwa ujumla.
“hivyo niwaombe wajumbe mtakaochaguliwa hakikisheni mnatumia vyema nafasi hiyo kwa kujadili yale yatakayokuwa na tija kwa watumishi wote.”amesema Bi.Msemwa
Naye, Mwenyekiti wa kikao hicho Bw. Fraksed Mushi ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu THBUB, amesema kuwa kila mjumbe aliyechaguliwa anawajibu wa kutumia nafasi hiyo kushauri na kutoa maoni yatakayo saidia kujenga Mazingira bora kwa wafanyakazi katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku.
“Tumieni Baraza hili katika kujadili mambo muhimu na kutoa mapendekezo sahihi juu ya kuboresha mazingira ya kazi, Idara na Vitengo ili kuongeza tija na ufanisi katika kutekeleza majukumu ya kuendeleza taasisi” amesema Bw. Mushi.
Jumla ya wajumbe tisa (9) walichaguliwa katika kikao hicho ambapo watatumikia nafasi hizo kwa muda wa miaka mitatu.



WANAHABARI KAGERA WANOLEWA DHIDI YA UGONJWA WA MURBURG
Tuesday, 28 January 2025
NI ZAMU YA TANDAHIMBA,WIZARA YA KATIBA NA SHERIA HAKUNA KULALA
MKUU WA MKOA WA RUVUMA ATAKA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KUKAMILIKA OKTOBA 2025
TANESCO YAJITOKEZA KUTOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME KATIKA MKUTANO WA NISHATI AFRIKA
ORYX GAS YAWAKUTANA NA MAWAKALA MIKOA YOTE KUWEKA MIKAKATI YA 2025
THBUB YAENDELEA KUTOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU NA MISINGI YA UTAWALA BORA KWA WATENDAJI KATA

Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala (THBUB) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe.Mohamed Khamis Hamad,umetoa mafunzo kwa Watendaji Kata wa Kata za Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, leo Januari 27,2025 katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Ofisi za Halmashauri hiyo.Monday, 27 January 2025
ALIYETAPELIWA SH32.7 MILIONI ATOA USHUHUDA WA MATUMAINI

Kulingana na ripoti, alidai alikubaliana na kampuni hiyo kwamba wangemuongezea fedha zake mara 10, hivyo hakusita kwani aliwekeza kiasi chote cha Sh32.7 milioni ili kuona kama dili hilo lilikuwa halali kwani ofa hiyo ilikuwa tamu na hakuwa tayari kuiacha.
"Mwanzoni kila kitu kilikuwa sawa, pesa ziliendelea kuingia na jinsi zilivyozidi kuja, ndivyo nilivyoendelea kuwekeza kwao bila kujua kuwa wameniwekea mtego wa kunipeleka shimoni." alisema Charity.
Kwa maneno yake mwenyewe, alifichua kuwa alifikia hatua ya kuamua kuwekeza kiasi cha Sh32.7 milioni baada ya kuhakikishiwa usalama wa fedha zake kwa kupewa wadhamini wa haraka ila mwisho wa siku walitoweka katika mazingira yasiyoeleweka.
Hakuwa tayari kukubali ukweli kwamba alikuwa ametapeliwa Sh32.7 milioni ndani ya siku chache. Alijaribu kuripoti kisa hicho kwa Polisi lakini kuwatafuta matapeli hao, haikuwa kazi rahisi kama Polisi walivyomwambia.
Alibaki na jambo moja tu la kufanya ambalo lilikuwa ni kukubaliana na ukweli kwamba alikuwa ametapeliwa. Anasema rafiki yake mmoja alimwambia atafute msaada kutoka kwa waganga wa jadi aitwaye Dr Bokko.
Alipewa mawasiliano yake +255618536050 kisha kumpigia na kufika katika ofisi zake, Charity alimueleza Dr Bokko kila kitu kilichotokea hadi kutapeliwa Sh32.7 milioni katika mazingira ambayo hata yeye mwenyewe alikuwa haelewi.
Basi alifanyiwa matambiko ya kichawi ambayo yamekuwa akirejesha mali zote ambazo zimekuwa zikichukuliwaa kwa njia ambayo sio halali ikiwemo utapeli.
Baada ya siku chache fedha zake zilirejea kwani wahusika walijisalimisha wenyewe kwa Polisi huku wakisema kukaa na fedha hizo haiwezekani kutokana na majanga ambayo walikuwa wakikumbana nayo. Ilibainika kuwa hii ilikuwa biashara ambayo walikuwa wakifanya kwa muda mrefu.
Charity alifika kituo cha Polisi na kukabidhiwa fedha zake zote kiasi cha Sh32.7 milioni , huku matapeliwa wale wakichukulia hatua kali za kisheria. Hata hivyo, ukweli ni kwamba bila Dr Bokko hasingepata fedha zake na matapeli hao wangeendea kuwaibia watu kila siku.














































