Thursday, 10 August 2023
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAPONGEZWA KWA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO YA MIGONGANO BAINA YA BINADAMU NA WANYAMAPORI
MCHUNGAJI MTATA ATANGAZA MAJI YA UPAKO WA UTAJIRI.. "UNAKUNYWA AU KUOGA UNAPATA GARI"
TEA KUTUMIA BILIONI 8 MIRADI YA ELIMU MWAKA WA FEDHA 2023/24

Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TEA Bi Bahati Geuzye katika ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZONEC: AJIRA ZA WATENDAJI WA UCHAGUZI ZIZINGATIE SIFA NA UWEZO
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mstaafu) Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na maafisa uchaguzi mkoani Morogoro leo tarehe 10 Agosti, 2023.
Sehemu ya wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na maafisa uchaguzi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakati akifunga mafunzo hayo Mkoani Morogoro leo.HAKUNA MRADI UTAKA SIMAMA CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA - BITEKO
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geita kuwa Miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tano inaendelea kutekelezwa na hakuna mradi utakaosimama ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Biteko ameyasema hayo katika wakati wa mkutano wa hadhara ulioandaliwa na Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Geita na kufanyika katika Mtaa wa Kalangalala jimbo la Geita mjini uliowakutanisha wabunge wote wa mkoa huo kuelezea utekelezaji wa ilani ya CCM.
“Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia kauli mbiu ya Kazi iendelee amehakikisha Miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha Serikali ya awamu ya tano inaenndelea kutekelezwa na hakuna mradi uliosimama wala mradi utakaosimama” amesema Biteko
MNEC Biteko amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa ya kupeleka fedha nyingi za maendeleo kote nchini kuanzia ngazi ya kijiji mpaka miradi ya kitaifa kama Ujenzi wa reli ya SGR na bwawa la kuzalisha umeme la Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambayo yote inaendelea kutekelezwa.
“Nawaomba wananchi wote na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi tuendelee kumuunga mkono Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kumwaga fedha za maendeleo kote nchini na ana maono makubwa ya kufikisha nchi yetu mahala pazuri” Amesisitiza
Aidha, Biteko amewakumbusha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kuendelea kuisimamia serikali katika ngazi zote na kupaza sauti pale wanapoona watu wachache wanakwamisha utekelezaji wa Ilani ya CCM kupita miradi inayotekelezwa katika maeneo yao.
HII DAWA IMEFANYA KILA MWANAMKE ANATAKA KUWA NAMI KIMAPENZI
Kwa sasa naendesha maisha yangu vizuri tu, nimefanikiwa kujenga na kuwekeza mradi mdogo wa kuuza mbao kwa ajili ya ujenzi maeneo ya mjini.
Licha ya umri wangu kuonekana kwenda, bado sijafanikiwa kuoa wala kuwa na mtoto katika maisha yangu, lakini ni kitu ambacho nilikitamani sana tangu nikiwa na umri wa miaka 22.
Tatizo langu kubwa lilikuwa ni kila mwanamke ninayemtongoza alikuwa akinikatalia licha ya kutoa ahadi ya maisha mazuri na fedha lakini bado hakuna aliyekuwa tayari kuwa na mimi.
Nilijaribu mbinu mbalimbali ili kuweza kufanikiwa katika hilo lakini sikuweza, niliwaomba hadi rafiki zangu waweze kunitongozea mwanamke wa kuwa naye lakini walikuwa wanakubali kwa hao rafiki zangu ila wakiniona wanakataa.
Siku moja niliona tangazo katika mtandao kuwa African Doctors anatoa tiba ya kuongeza mvuto wa mapenzi, nilichukua namba yake katika tangazo lile ambayo ni +254 769404965 na kuwasiliana naye.
African Doctors alinipatia dawa ya kuongeza mvuto ambayo nimeona inafanya kazi kweli kweli, wanawake zaidi ya wanne ambao nilikuwa nawasumbua kila mara kwenye simu kuwaomba wawe na mimi, wamenipigia simu na kuniomba niwe nao.
Hapa nilipo sasa nimepata kiwewe, nashindwa nimchukue mwanamke yupi na nimuache yupi maana wote ni wazuri sana na wote wananing'ang'ania sana. Je, nifanyaje?.
Kumbuka African Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Pia anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha, kifafa, upungufu wa nguvu za kiume, kuvimba miguu, kaswende, vile vile anawezesha wanawake kubaba ujautizo, wanaume kutungisha mimba n.k.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com
Mwisho.











.jpg)







.jpg)
.jpg)
























