Kijana aliyejulikana kwa jina Musa amenusurika kuuawa kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali katika eneo la Tambukateli kata ya Ndembezi Mjini Shinyanga baada ya kukamatwa na bata anayedaiwa kumuiba katika mtaa huo huku mwenyewe akikiri kufanya matukio ya wizi katika eneo hilo.
Tukio hilo limetokea...
Wabunge wawili wa upinzani nchini Senegal, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela na kulipa faini ya franc 100,000 za CFA (euro 150) kila mmoja sambamba na fidia ya faranga za CFA milioni tano (euro 7,625) kwa kumpiga mbunge mwenzao, Amy Ndiaye ndani ya Bunge.
Tukio hilo la ushambuliaji, lilifanyika...
Mama wa watoto wawili waliouawa katika Kijiji cha Kerwa eneo la Kikuyu nchini Kenya usiku wa mkesha wa mwaka mpya, amekamatwa.
OCPD wa Kikuyu, Catherine Ringera alisema kuwa uchunguzi uliofanywa unamhusisha mama huyo na vifo vya watoto hao.
"Kulingana na ile statement zimeandikwa na hata...
***********************
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la chanzo cha maji cha bonde la Mzakwe zoezi ambalo ni muendelezo wa kampeni ya upandaji miti ngazi ya Mkoa iliyozinduliwa rasmi Desemba 31 kwa kupanda miti kwenye eneo la chanzo...
Na Mwandishi Wetu
MSIMU mpya wa Kampeni ya Samia Nivishe kiatu inayofanywa na Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao inatarajia kuanza kutekelezwa katika mikoa ya Lindi,Mtwara,Songea, Iringa pamoja na Visiwani Zanzibar.
Hadi sasa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao chini ya Uongozi mahiri wa Mwenyekiti...
Wanafunzi watatu kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya wamefariki dunia baada ya mashua waliyokuwa wameabiri kuzama eneo la Budalangi, kaunti ya Busia.
Wanafunzi hao watatu walikuwa sehemu ya kundi cha wanafunzi saba ambao walikuwa wamekwenda kufurahia safari ya mashua kabla ya mambo kwenda...
Familia ya watu sita akiwemo baba, Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wamefariki dunia katika ajali ya kutisha iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022.
Ajali hiyo iliyozua gumzo kubwa na kuwasikitisha wengi, imetokea nchini Afrika Kusini katika eneo la Musina,...
Watu 9 wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kukanyagana kwenye Msongamano ulitokea Freedom City Mall usiku wa kuamkia Mwaka Mpya 2023.
Akithibitisha tukio hilo Naibu msemaji wa polisi wa Metropolitan ya Kampala, Luke Owoyesigyire amesema kuwa waathiriwa walikandamizwa huku mamia...
🛑 🧊 MALUNDE 1 BLOG inakutakia wewe na familia yako Heri ya Mwaka Mpya 2023
🌐 Endelea kutembelea www.malunde.com kwa habari za ukweli na uhakika kwa wakati muda wote
📲 Tunapenda tukutumie habari moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa
📢📱 PAKUA APP YETU >HAPA<
⁉️ Una...