Thursday, 30 September 2021

KIJANA AUAWA KWA VISU KISHA KUNING'INIZWA JUU YA MTI WA MPARACHICHI

Kijana Melkezedik Robert mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa kijiji cha Nyerezi, Arumeru mkoani Arusha, amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa umening’inizwa juu ya mti ya mparachichi. Mwenyekiti wa ulinzi wa wa Kitongoji cha Achi, aliyejitambulisha kwa jina moja la Agesmun, amesema walikuta mwili...
Share:

Retention Officer (RO) at MDH

POSITIION: Retention Officer (RO) (8 Posts)   LOCATION:        Geita, Kagera, Tabora and Dar es Salaam REPORTS TO:    District Project Manager/ Regional Retention Manager Job Summary: The Retention Manager (RO) is responsible for the day to day implementation of MDH’s retention and continuity of care programs and services. She/he work with Council Health […] This...
Share:

Community ART Officer (CAO) at MDH

POSITION: Community ART Officer (CAO) (8 Posts)   LOCATION:        Kagera, Geita & Dar es Salaam REPORTS TO:    District Community Services Manager (DCSM) Job Summary:  The Community ART Officer (CAO) is responsible for the day-to-day field implementation of MDH’s community ART program and services. She/He will work with the Council Health Management...
Share:

TAMISEMI: Call for Work at Benjamin Mkapa Foundation (BMF) Released Today 29th September, 2021 | Download All Names Here

Overview   The Benjamin William Mkapa Foundation (BMF) is a non- profit Trust, established in 2006 with the vision towards healthy lives and well-being for all, in Tanzania and the rest of Africa. Its strategic focused results areas include to combat HIV and AIDS, TB, Malaria and Reproductive, Maternal New Born, Child and Adolescent Health […] This post TAMISEMI: Call for Work at Benjamin Mkapa...
Share:

TB/HIV Officers at MDH

POSITION: TB/HIV Officers (6 Posts)   LOCATION:        Geita, Kagera & Tabora REPORTS TO:    TB/HIV Manager Job Summary:  The TB/HIV Officer works with and supports the MDH RTB-HIV Manager to ensure efficient implementation, M&E and reporting of TB/HIV services in her/his respective region including direct field coordination of key program priorities...
Share:

Maternal and Child Health (MCH) Officers at MDH

POSITION: Maternal and Child Health (MCH) Officers (7 Posts)   LOCATION:        Geita, Kagera, Tabora & Dar Es Salaam REPORTS TO:    Regional Maternal and Child Health (MCH) Manager Job Summary:  The Maternal and Child Health (MCH) officer works with and supports the MDH RMCH Manager to ensure efficient implementation, M&E and reporting...
Share:

Grants Manager at MDH

POSITION:   Grants Manager (1 Post)   LOCATION:   Dar es Salaam REPORTS TO:    Director of Grants and Compliance Job Summary:  Reporting to the Director of Grants and Compliance, the Grants Manager is responsible for overall oversight and coordination of donor engagement and proposal development. She/He will work with all other staff to develop and submit...
Share:

Wednesday, 29 September 2021

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI SEPTEMBA 30, 2021

...
Share:

SERIKALI YADHAMIRIA KUENDESHA SEKTA YA SANAA KIBIASHARA

Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kuendesha sekta ya Sanaa kibiashara na kuongeza tija ikiwa ni pamoja na kuwezesha sekta hii kutumika kama nyenzo ya kuhamasisha na kuelimisha jamii kuhusu masuala ya kiuchumi,...
Share:

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MIFUMO YA USALAMA NA AFYA MGODI WA SHANTA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akikagua maeneo ya mgodi mpya wa dhahabu wa Shanta uliopo Wilayani Ikungi Mkoani Sindiga alipofanya ziara ya kukagua usimikaji wa mifumo Usalama na Afya katika mgodi huo kabla...
Share:

DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUUTUMIKIA UMMA KWA UZALENDO, UADILIFU NA WELEDI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifungua kikao kazi cha ofisi yake na Taasisi zinazosimamia Maadili na vyama vya kitaaluma chenye lengo la kubadilishana uzoefu wa usimamizi wa maadili, kilichofanyika Ukumbi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI Mtumba jijini...
Share:

NYUKI WAVAMIA GHAFLA MSIBANI...WAUA MZEE WA KIJIJI WAKATI WA MAZISHI

Kundi la nyuki walivuruga hafla moja ya mazishi eneo la Gatundu Kaskazini, kaunti ya Kiambu nchini Kenya na kuua mmoja wa waombolezaji. Katika kisa hicho kisichokuwa cha kawaida, kilichotokea siku ya Jumamosi, Septemba 25, 2021 marehemu Mungai Mburu ambaye ni mzee wa kijiji, alikuwa amehudhuria hafla...
Share:

MREMBO AMKIMBIA MUME MTARAJIWA SIKU YA HARUSI

Jackline Wanjiru kutoka Kenya aliamua kuchanja mbuga muda mfupi kabla ya harusi yake baada ya kugundua kuwa bwana harusi Alfred Musa alimdanganya kuwa ni mfanyakazi wa benki kumbe sio ni dereva Teksi. Katika mahusiano yao yaliyodumu kwa miaka minne, Alfred alimwambia Jackline kuwa yeye ni mfanyakazi...
Share:

Resilience and livelihoods Team Lead at World Vision

JOB PURPOSE   To provide technical leadership and coordination of all resilience, livelihoods and economic development interventions for WV Tanzania to ensure the realization of World Vision Tanzania’s Country Strategy. The incumbent staff will lead the development of all related technical approaches for the NO. S/he will actively pursue resource mobilization strategies for the sector, […] This...
Share:

Request for Proposal – Senegal and Tanzania at Palladium

Request for Proposal – Senegal and Tanzania   Company Overview: About Palladium – Palladium is a global leader in the design, development and delivery of Positive Impact – the intentional creation of enduring social and economic value. We work with governments, businesses, and investors to solve the world’s most pressing challenges. With a team of more than […] This post Request for...
Share:

Video : NYANDA MADIRISHA OBHADO 'MALIGANYA' - STAREHE

Nakualika kutazama Video ya wimbo mpya wa Nyanda Madirisha Obhado ' Maliganya' (Shikomba Bhulolo) kutoka Kahama Mkoani Shinyanga inaitwa Starehe...Ngoma hii imetengenezwa katika Studio za Hardtone. Tazama video hapa chini...
Share:

BONDIA MAARUFU MANNY PACQUIANO ATANGAZA KUSTAAFU MASUMBWI

Manny Pacquiao Bondia maarufu Manny Pacquiao ametangaza kustaafu mchezo huo baada ya kuutumikia kwa miaka 26. Pacquiao ambaye ndiye bondia pekee kutwaa ubingwa wa Dunia mara 8 katika uzani tofauti tofauti, anastaafu akiwa na umri wa miaka 42, akiwa amepigana mara 72, ameshinda mara 62, kapoteza...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger