Thursday, 10 June 2021
MKUFUNZI II (DAKTARI WA MIFUGO) – 4 POST at LITA
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POST MKUFUNZI II (DAKTARI WA MIFUGO) – 4 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Livestock Training Agency (LITA) APPLICATION TIMELINE: 2021-06-08 2021-06-21 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 21 June 2021. CLICK HERE TO APPLY
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
MKUFUNZI II (AGRO- MECHANIZATION) at LITA
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POST MKUFUNZI II (AGRO- MECHANIZATION) – 1 POST POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER Livestock Training Agency (LITA) APPLICATION TIMELINE: 2021-06-08 2021-06-21 JOB SUMMARY NA The deadline for submitting the application is 21 June 2021. CLICK HERE TO APPLY
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Wednesday, 9 June 2021
Kitangali Teachers College Joining instructions
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu Kitangali – Joining instruction Kitangali Teachers College – joining instruction Kitangali Teachers College – nacte joining instructions Kitangali Teachers College – joining instruction za chuo cha Kitangali Teachers College Joining instructions for Kitangali Teachers College Joining instructions for Kitangali Teachers College have been successfully […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Kinampanda Teachers College Joining instructions
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu Kinampanda – Joining instruction Kinampanda Teachers College – joining instruction Kinampanda Teachers College – nacte joining instructions Kinampanda Teachers College – joining instruction za chuo cha Kinampanda Teachers College Joining instructions for Kinampanda Teachers College Joining instructions for Kinampanda Teachers College have been successfully […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
DEALERS at Africa Princess Casino
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POSITION: DEALERS EXPERIENCE:2 YEARS AND ABOVE JOB DESCRIPTION: 1.Lead a number of table games, including blackjack, craps, keno, poker,roulette and others while assisting customers with game related needs. 2.Distributecards, dice, chips and other equipment to patrons according to the table game and monitor returned equipment for any tampering. 3.Provide information about the rules of the […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Kabanga Teachers College Joining instructions
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu Kabanga – Joining instruction Kabanga Teachers College – joining instruction Kabanga Teachers College – nacte joining instructions Kabanga Teachers College – joining instruction za chuo cha Kabanga Teachers College Joining instructions for Kabanga Teachers College Joining instructions for Kabanga Teachers College have been successfully […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Ilonga Teachers Collage Joining instructions – Chuo cha ualimu Ilonga
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu Ilonga – Joining instruction Ilonga Teachers Collage – joining instruction Ilonga Teachers Collage – nacte joining instructions Ilonga Teachers Collage – joining instruction za chuo cha Ilonga Teachers Collage Joining instructions for Ilonga Teachers Collage Joining instructions for Ilonga Teachers Collage have been successfully […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
WAITRESS at Africa Princess Casino
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POSITION: WAITRESS EXPERIENCE:2 YEARS AND ABOVE JOB DESCRIPTION: 1.To provide excellent customers services. 2.To always strive towards best customer satisfaction. 3.To greet customers and present menus. 4.To assist on making suggestions based on customer’s preferences. 5.To arrange table setting and keeping table clean and tidy at all the time. 6.To cooperate and communicating with all […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Bunda Teachers College Joining instructions – Chuo cha ualimu Bunda
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu Bunda – Joining instruction Bunda Teachers College – joining instruction Bunda Teachers College – nacte joining instructions Bunda Teachers College – joining instruction za chuo cha Bunda Teachers College Joining instructions for Bunda Teachers College Joining instructions for Bunda Teachers College have been successfully […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Dakawa Teachers College Joining instructions – Chuo cha ualimu Dakawa
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
This article contains information on Fomu za kujiunga Chuo cha ualimu – Joining instruction Dakawa Teachers College 2021 – joining instruction Dakawa Teachers College 2021/2022 – nacte joining instructions Dakawa Teachers College – joining instruction za chou cha Dakawa Teachers College 2021/2022 Joining instructions for Dakawa Teachers College Joining instructions for Dakawa Teachers College have […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Network Specialist (Core) at NMB Bank
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
Job Purpose To plan, organize and deliver cost effective and efficient network infrastructure services (Data, Voice, & Video) that meets and exceeds business and customers’ expectations (availability, performance, resiliency, security and continuous improvement). Main Responsibilities Review and validate internal customer/business requirements in order to create High-Level and Low-Level Network Designs that meets and exceeds the requirements. […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Somo la Elimu kwa Michezo Kufundishwa kwa Wanafunzi Wote Nchini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameelekeza somo la Elimu kwa Michezo lifundishwe kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi na kuhamasisha wanafunzi wa shule za Sekondari kusoma somo hilo.
Waziri Mkuu ametoa maelekezo hayo Juni 08, 2021 Mkoani Mtwara alipofungua mashindano ya michezo na taaluma kwa shule za msingi na Sekondari (UMITASHUMTA na UMISSETA) ambapo amesema matarajio ya Serikali ni kuona wanafunzi wakionyesha uwezo wao kwa nidhamu ya hali ya juu na kuleta mafanikio kwa taifa.
“Kauli mbiu ya michezo ya mwaka huu inayosema “Michezo, Sanaa na Taaluma kwa Maendeleo ya Uchumi wa Viwanda” inasadifu kwa kiasi kikubwa nia ya Serikali na Chama Tawala, Chama cha Mapinduzi kutumia kila fursa tuliyo nayo katika kuleta maendeleo ya wananchi wetu na taifa kwa jumla” amesema Mhe. Majaliwa
Ameongeza kuwa Mheshimiwa Rais ameshatoa maelekezo ya kuiangalia mitaala ya elimu ili ijielekeze katika kujenga stadi za ujuzi kwa maendeleo ya taifa ikiwemo Elimu kwa Michezo na Sanaa, hivyo kupata wanamichezo na wasanii chipukizi wengi na bora ambao watafundishwa taaluma hizo kuanzia ngazi za awali, msingi, sekondari na vyuo.
Aidha, Serikali inaendela na jitihada za kuanzisha tahasusi zenye la Elimu kwa Michezo kwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 ili kupata mafaniko katika sekta yenyewe na kuchangia katika maendeleo ya uchumi wa viwanda.
“Nasisitiza Wizara husika kuingalia mitaala iliyopo kama inakidhi mahitaji ya sasa na kuchukua hatua stahiki pale ambapo kutaonekana kuna upungufu, nihimize kuboreshwa kwa vyuo vya ualimu ili viimarishe masomo ya Elimu kwa Michezo hatua itakayomuwezesha kila mhitimu kuwa na ujuzi wa ufundishaji wa michezo.
Pia Mhe. Majaliwa amesisitiza wito wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wa kuwahimiza wananchi kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukizwa, huku akisisitiza kuendelea kuunda vikundi vya mazoezi ya ukakamavu (Jogging na matamasha mbalimbali ya michezo) na kujijengea utamaduni wa kufanya mazoezi mara kwa mara kwa afya zenu.
Zaidi ya hayo, Mhe. Majaliwa amewaasa vijana wajiepushe na vitendo vitakavyokwamisha ndoto zao za kufanikiwa katika masomo na michezo kama vile matumizi ya madawa ya kulevya, uvivu na utoro shuleni.
Kwa upande wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesema Wizara hiyo inatarajia kuanzisha kituo maalum cha kuendelezea michezo katika Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya ili kuendeleza vipaji vinavyopatikana.
Waziri Bashungwa amesema hayo Juni 08, 2021 Mkoani Mtwara wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi na Sekondari (UMITASHUMTA na UMISSETA).
"Muamko na hamasa unayoiona leo hii, ni ushirikiano wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia katika ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya mawaziri, makatibu wakuu na wataalam" amesema Waziri Bashungwa.
Waziri Bashungwa amesema kuwa Wizara yake inashirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kufanya tathimini katika kila mkoa ili kubaini shule zitakazopendekezwa maalum kwa michezo.
"Ni matarajio yetu kwa kuisimamia michezo hii vizuri, itakuwa ni chimbuko kubwa la kuvuna vipaji ambavyo vitaendelezwa, ili kupata wachezaji wenye weledi, watakaochezea timu zetu za Taifa, lakini pia watakaocheza michezo ya kulipwa, na kujipatia ajira" amesema Waziri Bashungwa.
Katika mashindano hayo, vyama vya Michezo vya Kitaifa, vilabu, watalaam wa kuvumbua vipaji (scouters) kutoka Taasisi ya Mbwana Samata pamoja na watalaam kutoka Sweeden wamealikwa ili kupata furs aya kuvumbua vipaji katika mashindano hayo.
Naye Naibu Waziri Ofisi Ya Rais TAMISEMI Mhe. David Silinde amesema malengo makuu ya mashindano hayo ni pamoja na kutekeleza azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kukuza vipaji vya michezo kwa kuibua na kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na upendo baina ya wanafunzi wangali katika umri mdogo ili kuimarisha taaluma ya michezo kwa wanafunzi na kuwajengea ujuzi na maarifa
Mhe. David Silinde amesema mashindano hayo yanasaidia kujenga umoja, uzalendo na mshikamano miongoni mwa wanafunzi, walimu na wadau wa michezo nchini pamoja na kujenga ukakamavu na umahiri katika michezo.
Rais Samia afanya uteuzi wa Viongozi wawili
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Eleuther Mwageni kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
Profesa Mwageni ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) na anachukua nafasi ya Profesa Esther Ishengoma ambaye amemaliza muda wake.
Uteuzi huo umeanza tarehe 7 mwezi huu.
Wakati huohuo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Neema Mwita kuwa Mjumbe wa Baraza la Ushindani.
Dkt. Mwita anachukua nafasi ya Dkt. Theodora Mwenegoha ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Waziri Mkenda Aanza Mkakati Kupunguza Bei Ya Mbolea
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma
Serikali imeielekeza Mamlaka ya Mbolea Tanzania (TFRA) kuanza kutoa vibali vya kuuza mbolea ambayo imeshaingia nchini (Export Permit) badala ya vibali hivyo kutolewa ofisi ya Waziri wa Kilimo.
Waziri wa Kilimo Mhe Prof Adolf Mkenda ametoa maelekezo hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Muwakilishi wa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mbolea (YARA) Ofisini kwake Jijini Dodoma
Ili kuongeza ufanisi zaidi wa utendaji Waziri Mkenda amesema kuwa vibali hivyo vitatolewa kwa njia ya mtandao (Online) badala yake Ofisi ya Waziri wa Kilimo itakuwa na jukumu la kupewa taarifa ya utekelezaji wa utoaji vibali uliofanywa na TFRA.
Waziri Mkenda amesema kuwa serikali ina matumaini makubwa na wafanyabiashara wa mbolea kwani inaamini kuwa kurahisishwa utolewaji wa vibali hivyo kutawaongezea kasi ya kuagiza mbolea nyingi itakayoingia nchini kwa ajili ya matumizi ya wakulima wa ndani na nje ya nchi.
Amesema kuwa kufuatia uingizwaji mwingi wa mbolea nchini jambo hilo litaimarisha uwezekano wa upatikanaji wa mbolea kwa bei nafuu kwa wakulima jambo litakalopelekea kuongezeka tija na uzalishaji kwa wakulima.
Kuhusu gharama za usafirishaji wa mbolea kupitia barabara, Waziri Mkenda amesema kuwa atafanya mazungumzo na Hazina ili kuona uwezekano wa huduma za kusafirisha mbolea kama itawezekana kutoa VAT.
“Tumegundua kuwa kusafirisha mbolea kwa reli kunapunguza sana gharama kwahiyo tumehimiza mbolea isafirishwe kwa reli kwenda kaskazini kwa maana ya mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara pamoja na kusafirishwa kwa reli kupitia njia ya kati mikoa ya Morogoro, Singida, Dodoma, Singida N.k na Tazara tutafanya hivyo” Amekaririwa Prof Mkenda
Waziri Mkenda amesema kuwa ili kupunguza gharama za mbolea nchini serikali imeielekeza Mamlaka ya Mbolea TFRA kuhakikisha kuwa inaongeza muda wa zabuni ambao walikuwa wameutoa.
Kuhusu Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC), Waziri Mkenda amesema kuwa katika makubaliano ya kikao kazi cha wizara atatafutwa mtaalamu elekezi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam shule ya Biashara kukaa kwa kipindi cha miezi sita na kuishauri serikali nini kifanyike ili kuifufua taasisi hiyo.
Naye Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao Wizara ya Kilimo Ndg Nyasebwa Chimagu amesema kuwa Waziri wa Kilimo ameendelea kukutana na wadau wa mbolea nchini ili kuhakishisha kuwa wakulima wanaendelea kuzalisha kwa wingi mazao ya chakula na biashara hivyo ili kufikia hatua hiyo ni lazima kuongeza matumizi sahihi ya mbolea kwa wakulima.
Amesema kuwa nchi mbalimbali duniani zinaitegemea bandari ya Dar es salam katika kusafirisha mbolea hivyo vibali vya usafirishaji wa mbolea kutolewa moja kwa moja na TFRA itaongeza chachu ya urahisishaji kwa wauzaji wa mbolea lakini pia kurahisisha upatikanaji wa mbolea kwa haraka.
Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makamu Wa Rais, Mkutano Wa 76 Wa Baraza Kuu La Umoja Wa Mataifa (Unga 76)
Tanzania imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Mkutano wa 76 wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) katika uchaguzi uliofanyika tarehe 7 Juni 2021, New York – Marekani.
Katika uchaguzi huo, Tanzania imepita bila kupingwa ambapo mara ya mwisho Tanzania kuwa Makamu wa Rais ni mwaka 1991.
Katika uchaguzi huo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Maldives, Mhe. Abdulla Shahid, amechaguliwa kuwa Rais wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) kwa kura 143 dhidi ya mpinzani wake Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Dkt. Zalmai Rassoul aliyepata kura 48.
Majukumu ya Makamu wa Rais ni kusaidiana na Rais katika kuratibu na kusimamia shughuli za mijadala ya UNGA na kamati zake katika kutunga maazimio.
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ndio chombo kikuu cha kutunga Sera na Sheria chenye uwakilishi wa nchi zote wanachama ambapo mkutano wa mwaka huu unatarajiwa kufanyika mwezi Septemba 2021.
Tanzania iliwahi kuwa Rais wa UNGA mwaka 1979 katika mkutano wa 34 wakati wa uwakilishi wa Balozi Dkt. Salim Ahmed Salim.
Katika uchaguzi huo pia, Tanzania imeshinda nafasi ya Mjumbe wa Baraza la Uchumi na Jamii la Umoja wa Mataifa (Economic and Social Council (ECOSOC) kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia 1 Januari 2022 hadi 31 Desemba 2024. Katika uchaguzi huo, Tanzania imepata kura 182 kati ya 186 zilizopigwa na nchi wanachama 54 wanaounda Umoja huo.
Hii ni mara ya tano kwa Tanzania kushika nafasi hiyo ambapo mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2004 - 2006. Mara nyingine ilikuwa ni 1966 - 1969; 1978 - 1980; na 1994 - 1996.
ECOSOC ndio chombo kinachohusika na miradi ya maendeleo ya kiuchumi ya Umoja wa Mataifa hasa katika kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2030, na pia husimamia mashirika yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa (Specialized Agencies and Commissions) kama UNDP, UNFPA na UNICEF.
Ushiriki wa Tanzana katika uongozi wa vyombo vya Umoja wa Mataifa unaipa nchi nafasi nzuri kutekeleza sera yake ya Mambo ya Nje na pia kuchangia utekelezaji wa majukumu yake kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa.
Kuchaguliwa kwa Tanzania chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ni ishara ya kuaminika katika medani za kimataifa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.
Imetolewa na:
Emmanuel Buhohela
Mkurugenzi, Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
CVAC Client Service Assistant at International Organization for Migration
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION Vacancy Notice IOM/DAR/010/2021 Position title CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre) Position grade G4-Graded Duty station Dar es Salaam Durations Six (6) Months Special Short-Term with possibility of extension Position number N/A Job family Core Migration/Administrative Organizational unit Operations Reporting Directly to VAC Team Leader 2nd Manager Operations Manager Overall […]
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details