
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge aliyeambatana na viongozi wenzake wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...