Wednesday, 6 November 2019
Sekta Ya Ngozi, Nyama Na Maziwa Zaundiwa Kozi Fupi Vyuoni
Serikali Yapiga Marufuku Walengwa Wa Tasaf Kulazimishwa Kuchangia Bima Za Afya Na Michango Ya Kijamii
Serikali Yasema Haitaingilia Kupanga Bei Msimu Ujao Wa Pamba
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani Atoa ONYO Kwa mameneja na wakandarasi wanaotoza Wananchi Gharama ya nguzo za umeme
Je, Una Hofu na Usalama wa Namba Yako ya Simu?? | Tazama Hapa Jinsi ya Kujitoa au Kufuta namba yako Kwenye App ya TrueCaller
TrueCaller ni app maarufu duniani inayowawezesha watumiaji wake kutambua majina ya watu au makampuni wanayotaka kuwasiliana nayo au yanayowapigia simu wao.
Kwa kifupi, mtumiaji wa TrueCaller anaweza kufahamu jina la mtu au kampuni hata kama hajam save kwenye simu yake kabla ya kupiga au kupokea simu.
Mfumo wa data wa TrueCaller ni mfumo ambao watumiaji wake wanasaidiana kupeana taarifa za data za watu walio kwenye simu zao.
Unapopakua programu hiyo kutoka kwenye Playstore/App Store kisha ukaingia ndani kwa kuweka email na password yako, basi utakuwa umeruhusu wahusika kuona namba za watu ulionao kwenye kifaa husika na kuhifadhi taarifa hizo kwenye kompyuta zao za kutunza kumbukumbu (servers).
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
Pamoja na uzuri wa TrueCaller, yaweza kuwa imefika mahali sasa unawaza usalama wa namba yako ya simu au data zako na taarifa zako binafsi na hivyo unatamani kujitoa au kufuta kabisa namba yako kwenye Mfumo wa TrueCaller
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬
==>>Kama Bado Hujaelewa <<BOFYA HAPA>> Kusoma maelezo Kwa Kina Zaidi
Katibu Mkuu TAMISEMI Ataka Sheria, Kanuni na Miongozo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 Zifuatwe
Mbwana Samatta Avunja Rekodi....Ni Baada ya kuifunga timu kubwa duniani ambao ni mabingwa wa Ulaya, Liverpool.
Goli hilo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mpira wa miguu nchini Tanzania.
Hata hivyo, matokeo ya mwisho ya mchezo huo wa Klabu Bingwa Ulaya yalikuwa mabaya kwa Genk kwa kulazwa kwa goli 2-1.
Samatta, aliunganisha kwa kichwa mpira wa kona mpaka wavuni katika dakika ya 40 ya mchezo.
Mshambuliaji huyo ambaye ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano hiyo mikubwa zaidi ya vilabu barani Ulaya tayari ameshapachika magoli mawili katika mechi nne.
Makubaliano yafikiwa kati ya serikali na waasi wa Yemen
-DW
TAKUKURU Mkoa Wa Dodoma Yamnasa Afisa Mtendaji Kwa Kosa La Kushawishi Kupokea Rushwa Kutoka Kwa Mfugaji
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Yabainisha Mkakati Wa Kudhibiti Maradhi Yanayoikumba Mimea Ya Mipapai Nchini
Job Opportunity at ActionAid, TOR- Inspirator Kilwa
TOR- Inspirator Kilwa ActionAid is an international anti-poverty agency working in over 47 countries, taking sides with poor people to end poverty and injustice together. Whilst all applicants will be assessed strictly on their individual merits, qualified women are especially encouraged to apply. ActionAid started its operations in Tanzania in 1998. ActionAid Tanzania (AATZ) envisions seeing Tanzania without… Read More »
The post Job Opportunity at ActionAid, TOR- Inspirator Kilwa appeared first on Udahiliportal.com.
Job Opportunity at ActionAid, TOR- Inspirator Unguja
TOR- Inspirator Unguja ActionAid is an international anti-poverty agency working in over 47 countries, taking sides with poor people to end poverty and injustice together. Whilst all applicants will be assessed strictly on their individual merits, qualified women are especially encouraged to apply. ActionAid started its operations in Tanzania in 1998. ActionAid Tanzania (AATZ) envisions seeing Tanzania without… Read More »
The post Job Opportunity at ActionAid, TOR- Inspirator Unguja appeared first on Udahiliportal.com.
2 Jobs Opportunities at INADES-Formation Tanzania
Job Title: Project Officer Agroforestry Job Reports to: Project Coordinator Duty Station: Kondoa Town, with project activities in villages of Kondoa and Chemba Districts Education: Bachelor’s degree in agroforestry or related fields Experience: 3 years’ experience in mobilizing rural communities in field work with an ability to work under pressure, tight deadlines with less supervision. Fluency in Swahili… Read More »
The post 2 Jobs Opportunities at INADES-Formation Tanzania appeared first on Udahiliportal.com.
Tuesday, 5 November 2019
Procurement Officer – Goods & Services Job Opportunity at IRC Dar es Salaam
Procurement Officer – Goods & Services Job Opportunity at IRC Dar es Salaam Job Title: Procurement Officer – Goods & Services Requisition ID: req7060 Sector: Supply Chain Employment Category: Fixed Term Employment Type: Full-Time Open to Expatriates: No Location: Dar es Salaam, Tanzania Job Description The International Rescue Committee (IRC) is an International Non-Governmental Organization working in 40… Read More »
The post Procurement Officer – Goods & Services Job Opportunity at IRC Dar es Salaam appeared first on Udahiliportal.com.




























