Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, lakini dakika chache baadaye askari magereza walimkamata tena.
Malkia huyo wa filamu anakabiliwa na kesi ya kusambaza picha zinazodaiwa kuwa za ngono mtandaoni.


Bruno Fernandes
Zaha aliifungia Palace mabao 10 katika msimu wa 2018-19
Romelu Lukaku