Mkuu wa Idara ya Utafiti na Machapisho wa Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene akitoa neno la ukaribisho kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dk. Tausi Kida wakati wa warsha ya kitaifa ya utekelezaji wa mkakati wa maendeleo kwa nchi za Afrika Mashariki unaozingatia...
Monday, 1 July 2019
Heslb Online Application system now open 2019/20
HESLB Online Application system now open 2019/20, heslb application, olams heslb go tz, maombi ya mkopo heslb 2019
HESLB has officially started to receive electronic Loan applications for Academic year 2019/2020
Welcome to Online Loan Application and Management System (OLAMS). ONLY Tanzanian Nationals are eligible to apply for higher education student loans. Kindly provide TRUE information...
Katibu Mkuu Wizara Ya Kilimo (SMT) Mhandisi Mtigumwe Na Naibu Katibu Mkuu Wizara Ya Kilimo (SMZ) Bi Mansura Waongoza Kikao Cha Mashirikiano

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo (SMT) Mhandisi Mathew Mtigumwe na Naibu Katibu Mkuu (SMZ) Bi Mansura Mosi Kassim wameongoza kikao cha mashirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania katika sekta ya Kilimo.
Kikao...
Watoroshaji dhahabu katavi kukiona

Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Homera ameapa kupambana na wanaotorosha dhahabu huku mpaka sasa watu wawili wakishikiliwa na jeshi la polisi kwa kununua dhahabu kinyume cha sheria mkoani humo
RC Homera akiwa ziarani katika migodi mbalimbali ikiwemo Dilifu ambao ni mgodi wa wachimbaji wadogo na...
Ujangili Wapunguza Idadi Ya Faru Kutoka Zaidi Ya Elfu 10 Hadi 161 Pekee

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma.
Imeelezwa kuwa idadi ya wanyamapori aina ya Faru weusi[Black Rhino] imepungua kutoka faru zaidi ya elfu kumi kwa miaka 1970 mpaka 1980 na kubaki faru 161 pekee hadi sasa hapa nchini kutokana...
Spika Mstaafu wa Bunge Pius Msekwa Aunga Mkono Tundu Lissu Kuvuliwa Ubunge

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa amedai uamuzi uliofanywa na Spika wa Bunge Job Ndugai wa kumvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu uko sawa, kwani yeye alishawahi kuwavua Wabunge zaidi ya 50 katika kipindi chake, kwa kosa la utoro...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Safaricom,Bob Collymore Afariki Dunia

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya simu ya Safaricom, Bob Collymore amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Safaricom, matuti yamekuta Collymore asubuhi ya leo Jumatatu Juni 1, 2019 akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi.
Vyombo vvya habari vya Kenya vimesema mwenyekiti wa kampuni hiyo Nicholas...
MTENDAJI MKUU WA SAFARICOM AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Safaricom nchini Kenya, Bob Collymore amefariki dunia leo asubuhi, Julai Mosi, 2019.
Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Safaricom, Nicholas Nganga imesema Collymore alikuwa anasumbuliwa na saratani kwa muda mrefu.
“Oktoba 2017...
Picha : BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO (AQRB) YAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) Arch. Dkt Ludigija Bulamile akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishishi wa habari Jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na bodi hiyo kuhusu kuacha kuichanganya taaluma yao na ile ya wahandisi badala yake iuelimishe...
Maelfu ya Wananchi waandamana Tena nchini Sudan .....7 Waripotiwa Kufariki dunia

Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kuuawa nchini Sudan baada ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutumia mkono wa chuma kuyatawanya maandamano ya wananchi ya kutaka utawala wa kiraia.
Taarifa zaidi zinasema kuwa, maandamano makubwa ya jana ya wananchi wa Sudan katika miji mbalimbali ya nchi hiyo...
Waziri wa Viwanda na Biashara Akerwa na Watanzania Wanaobeza Ubora wa Korosho ya Tanzania

Waziri wa Viwanda na Biashara ,Innocent Bashungwa amekemea baadhi ya Watanzania wanaopotosha na kukandia kuwa korosho ya Tanzania iliyopo kwenye maghala ,haina ubora ambapo amewapasha kuacha propaganda zisizo na tija kwa Taifa.
Ameyasema hayo mjini Kibaha alipotembelea kiwanda cha Kubangua...
Maamuzi ya IGP Sirro na IGP wa Msumbiji kuhusu mauaji ya Watanzania 10

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo ya kina na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa nchi ya Msumbiji, Bernardino Rafael kuhusu mauaji ya Watanzania 10 yaliyotokea Juni 26, mwaka huu, katika kijiji cha Mtole nchini Msumbiji.
Watanzania hao waliuawa kwa kupigwa...
Uturuki yamuonya vikali mbabe wa kivita wa Libya Jeneral Khalifa Haftar

Uturuki imesema kuwa vikosi vya kiongozi wa Libya Khalifa Haftar ”vitalengwa” ikiwa hawatawaachia huru haraka raia sita wa Uturuki.
Vikosi vya Jenerali Haftar vilisema siku ya Ijumaa kuwa vitashambulia maslahi ya Uturuki kwa kuwa taifa hilo linaunga mkono serikali ya Libya inayoungwa mkono...