Na Mwandishi wetu Ruvuma. Shirika la umeme nchini Tanesco mkoani Ruvuma kupitia wakala wa kusambaza umeme vijijini Rea limeendelea kusambaza umeme katika vijiji mbalimbali vilivyopo kwenye mpango ndani ya mkoa wa Ruvuma na kuwafanya wananchi mkoani humo kunufaika na matunda ya serikali ya awamu ya tano. Akitoa salamu za shukrani kwa uongozi wa Tanesco mkoa wa Ruvuma kutokana na kasi waliyonayo...
Wednesday, 19 December 2018
SALUM MWALIMU : NIMEKAMATWA,NIMEPIGWA NA KUDHALILISHWA

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu.
Baada ya Polisi mjini Mafinga mkoani Iringa Jumapili ya Disemba 16, kumkamata na baadaye kumwachia, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, mwenyewe amefunguka kuwa kilichofanyika ni uonevu dhidi ya demokrasia.
Akizungumza...
RAISI ASEMA WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO HAKUNA FIDIA

Rais John Magufuli amesema waliobomolewa nyumba kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro eneo la Kimara hadi Mbezi jijini Dar es Salaam hawatalipwa fidia kwa kuwa walijenga katika eneo la hifadhi ya barabara.
Rais Magufuli ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano Desemba 19, 2018 katika hafla ya uwekaji...
AMA KWELI YANGA NI TIMU YA WANANCHI,MASHABIKI TENA WAIMWAGIA MAMILIONI HAYA
KAMA ulikuwa uamini kama YANGA ni timu ya Wananchi basi amini hii baaada ya wanachama wa klabu ya Yanga Kuamua kuwekeza nguvu zao kwa kuichangia timu kiasi cha shilingi za kitanzania, milioni 8. Mabingwa hao wa Historia ambao wamefika jana salama kwenye Jiji la Arusha jana kwa ajili ya kumenyana na Afrika Lyoni . Wanachama na wadau hao wenye mapenzi ya dhati na Yanga, wametoa kiasi hicho cha pesa...
MTIBWA SUGAR KUJENGA UWANJA MKUBWA WA SOKA

Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar imetangaza nia yake ya kujenga uwanja wa kisasa na mkubwa wa soka, ambao utakuwa na uwezo wa kubeba mashabiki wengi zaidi.
Hayo yamezungumzwa na Mkurugenzi wa klabu hiyo, Jamal Bayser ambapo amesema kuwa wameamua kuwafuata mashabiki wao na wapenda soka kwa kuwajengea...
WANATOKEA WAPI SASA HAWA NKANA,JULIO AWAPA MBINU HII OKWI NA KAGERE
NI wazi timu ya Nkana kutoka Zambia wameshakufa kwenye mechi ya marudiano ndivyo naweza kusema baada ya Timu ya Simba kumpa jukumu zito mshambuliaji wake hatari kabisa Emmanuel Okwi, raia wa Uganda la kuwamaliza Wazambia hao. Mfumania Nyavu huyo amepewa kazi maalumu ya kuivusha Simba kwenye hatua ya makundi kwa kushirikiana na wachezaji wenzake ili kuwafunga mabao zaidi ya 2 Nkana FC ya Zambia. Simba...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO DEC 19,2018

Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino anataka kurithi mikoba ya Jose Mourinho ambaye amefutwa kazi na Manchester United, ila itawalazimu United kuilipa Spurs dau la pauni milioni 34 kama watataka kumpeleka mkufunzi huyo raia wa Argentina katika uga wa Old Trafford . (Times)
Kocha wa Real Madrid...
Video Mpya : MAMA USHAURI - SAFARI

Ninayo hapa Ngoma mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri 'Full Melody Classic' inaitwa Safari...ni ngoma kali sana ya kufungia mwaka 2018...Itazame hapa chini
...
Ngoma Mpya : MAMA USHAURI - MIGOGORO......DUDE KALI LA KUFUNGIA MWAKA 2018

Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri maarufu Full Melody Classic kutoka mkoani Shinyanga anakualika kutazama video yake mpya inaitwa Migogoro..Itazame hapa ...Bonge moja la ngoma la kufungia mwaka 2018.
...
SAKATA LA MEMBE KUUTAKA URAIS, NI MPASUKO NDANI YA CCM??....WENGINE WADAI MASALIA YA CCM Vs CCM WAKUJA

Sakata la tuhuma dhidi ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuonyesha mapema nia ya kutaka urais katika uchaguzi ujao, limeelezwa kuwa ni mpasuko ndani ya chama hicho.
Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Profesa Mwesiga Baregu, anasema kwa sasa ndani ya CCM, kuna makundi mawili...
Utafiti : KUMPAPASA PAPASA 'KUMSHIKA SHIKA' KUNAPUNGUZA MAUMIVU

Kumpapasa papasa mtoto au kumkanda taratibu kunapunguza pakubwa shughuli katika ubongo wake hasa zinazohusiana na maumivu, utafiti umebaini hilo.
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha John Moores cha Liverpool, ulifuatilia shughuli za ubongo wa zaidi ya watoto...
MKANDARASI ATAKAYE SUASUA KATIKA SUALA LA UMEME KUNYANGANYWA KAZI
Na Mwandishi wetu Ruvuma. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme mkoani Ruvuma ambapo leo amewasha umeme Kijiji cha Palangu na Mang’ua pamoja mtaa wa Luhila Seko katika Wilaya ya Songea ambavyo vimepata umeme kupitia mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) mzunguko wa kwanza na mradi wa Makambako – Songea. Huo ni muendelezo...
AUMUUA KIKATILI HAWALA YAKE KISHA NA YEYE KUJIUA
Na Allawi Kaboyo Bukoba. Watu wawili wanaodaiwa walikuwa katika mahusiano ya kimapenzi wamefariki baada mmoja kunyongwa na mwingine kujinyonga, katika mtaa wa Mafumbo katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi alisema kuwa mauaji hayo yamegundulika Desemba 17 mwaka huu saa 11 jioni katika mtaa huo. Malimi alimtaja anayedaiwa kunyongwa na mpenzi wake...
Tuesday, 18 December 2018
VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU DEMOKRASIA... WASEMA 2019 MWAKA WA KAZI

Vyama sita vya upinzani vilivyokaa kikao chao Zanzibar vimesema mwaka wa 2019 ni mwaka ambao watapambana kwa hali zote katika kudai haki zao wanazonyimwa kinyume na sheria za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Shariff...
DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANYY WAFUNGIWA KUFANYA MUZIKI.....TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL LAFUTWA

Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana.
Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa...
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MAKAMU MKUU WA UDOM PROF. EGID BEATUS MUBOFU

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa kufuatia kifo cha Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Egid Mubofu.
Profesa Mubofu amefariki dunia leo Jumanne Desemba 18, 2018 Pretoria, Afrika Kusini alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi akitokea...