Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatangaza kuwa Awamu ya Pili ya Udahili wa
waombaji wanaotarajiwa kujiunga na masomo ya shahada za awali ulimalizika
tarehe 10 Oktoba 2017. Kutokana na waombaji wengi kutochaguliwa kwa sababu
mbali mbali, Tume itafungua maombi kwa Awamu ya Tatu kuanzia tarehe 18 hadi
22 Oktoba 2017 na siyo 16 hadi 18 ya awali. Tume inapenda kusisitiza yafuatayo: a) Awamu hii itawahusu waombaji waliokosa nafasi kwenye Awamu ya Kwanza na
ya Pili kutokana na ushindani au kukosa sifa katika programu walizoomba; b) Waombaji waliochaguliwa zaidi ya chuo kimoja; wanatakiwa kuamua mara moja
kwa kuchagua chuo kimoja tu na hatimaye kukiarifu chuo husika; c) Awamu hii haitawahusu waombaji wapya (ambao hawajawahi kutuma
maombi katika awamu mbili zilizopita); d) Waombaji ambao hawatathibitisha uchaguzi wao au kujithibitisha zaidi ya chuo
kimoja hawatatambuliwa na Tume katika udahili wa mwaka 2017/18 e) Waombaji kuwasiliana moja kwa moja na mara kwa mara na vyuo husika kwa
masuala yote yanayohusiana na zoezi la udahili badala ya kuja TCU. f) Waombaji wote kutembelea Tovuti za vyuo ili kufahamu hatima ya maombi yao.
Aidha, Tume inapenda kusisitiza kuwa utaratibu wa kutuma maombi na kuthibitisha
ni ule ule uliotumika katika awamu mbili zilizopita za Udahili.
Imetolewa na
Kaimu Katibu Mtendaji
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii ya MASWAYETU BLOG wadogo hamjambo?wakubwa shikamoni.
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza wale
wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali ndani na nje ya Bongo
yetu hii.Hongereni sana kwani nyie ni baadhi ya vijana wengi waliokosa
nafasi hizo;
The following is the list of applicant selected to join various undergraduate and postgraduate programmes in 2017/2018 academic year which will commence on 30th October 2017.Registration for new student will start on 23rd October 2017. Download the list below:
ANNOUNCEMENT FOR BACHELOR DEGREE APPLICANTS IN 2017/2018 ACADEMIC CYCLE
There are students who are eligible for admission but have been selected in more than one Institution. Applicants under this category are urgently required to confirm their acceptance to join CBE Dodoma Campus not later than 22nd October 2017 through the following means:
Other students are eligible for admission but their selections were not approved due to various reasons which may include missing of NACTE Award Verification Number(AVN). Students in this category are required to communicate (if not reached) with our admission team in order to rectify their problem using same means of contancts given above : Click below to get full lists of all two categories.