Saturday, 12 September 2015

HAYA HAPA MAJUINA YA WANAFUNZI WALIOHAMISHWA SHULE KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for NGAO YA TANZANIA
Habari yako;
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG na TANGAYETU BLOG tunaendelea kukupa huduma kitu roho inapenda.
Ukihitaji kuangaliziwa jina lako au la ndugu yako kama  umehamishwa shule kidato cha tano 2015/2016 awamu ya pili fanya yafuatayo;


1.TUMA JINA NA NAMBA YAKO KWENDA
    NAMBA 0768260834 mfano JOHN PAUL S0710/0018/2014 au
    tigo 0652740927
2.Huduma hii utatozwa tshs 1000 tu ambayo utaituma kwa
    MPESA-0768260834 TIGO PESA-0652740927

3.TAFADHALI TUMA PESA KWANZA UJIBIWE,NA
    UTAJIBIWA NDANI YA         DK 1 TU

 kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini;
Share:

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA FORM 5 SECOND SELECTION 2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Image result for NGAO YA TANZANIA
Habari yako;
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG na TANGAYETU BLOG tunaendelea kukupa huduma kitu roho inapenda.
Ukihitaji kuangaliziwa jina lako au la ndugu yako kama umechaguliwa/amechaguliwa kujiunga kidato cha tano 2015/2016 awamu ya pili fanya yafuatayo;


1.TUMA JINA NA NAMBA YAKO KWENDA NAMBA 0768260834 mfano JOHN
    PAUL S0710/0018/2014 au tigo 0652740927

2.Huduma hii utatozwa tshs 1000 tu ambayo utaituma kwa MPESA-0768260834
   TIGO PESA-0652740927

3.TAFADHALI TUMA PESA KWANZA UJIBIWE,NA UTAJIBIWA NDANI YA         DK 1 TU kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini;

Share:

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI SEPTEMBER TAREHE 12/9/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY



Share:

Friday, 11 September 2015

VIJANA WA MUJIBU 2,909 JKT WAFUNGA MAFUNZO YAO-KIKOSI CHA RUVU PWANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
2,909 Wahitimu Mafunzo JKT Operesheni Kikwete

2,909 Wahitimu Mafunzo JKT Operesheni Kikwete

Vijana 2,909 wa mujibu wa sheria waliojiunga na Jeshi la Kujenga Taifa Operesheni Kikwete wamehitimu mafunzo yao ya miezi mitatu katika kikosi cha Ruvu-JKT. Kati ya vijana hao, 1,993 ni wavulana na 916 ni wasichana. Katika sherehe fupi iliyofanyika katika viwanja vya kambi ya Ruvu-JKT, Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Eng Evarist Ndikilo alifunga Mafunzo hayo ya vijana waliomaliza kidato cha sita yanayoendeshwa kwa lengo la kuwafundisha Uzalendo na elimu ya kujitegemea.
Akiongea katika sherehe hizo, Mkuu wa Mkoa aliwataka vijana waliohudhuria mafunzo hayo kuwa wazalendo wa nchi yao hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu kwani wanapaswa kutumia vyema mafunzo walioyapata katika kulijengea sifa JKT kwa mafunzo bora kwa vijana wote wa kitanzania bila ya kujali makabila yao, dini zao, jinsia zao na itikadi zao.
Wakisoma Risala kwa Mgeni rasmi, Vijana wahitimu walimueleza kuwa muda wa mafunzo uongezwe kutoka miezi mitatu hadi sita, kwani wakifanya hivyo wataongeza ari ya vijana kujifunza zaidi elimu ya uzalendo kwa Taifa lao.
Naye mkuu wa Utawala na Mafunzo wa JKT, Brigedia Jenerali Jacob Kingu alimueleza Mgeni rasmi kuwa mafunzo hayo ya vijana wa mujibu wa sheria yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Serikali ya awamu ya nne. Tangu kurejeshwa mafunzo hayo mwaka 2013 hadi sasa takribani vijana 67,000 wameweza kuhudhuria mafunzo kwa ufanisi.
Akimshukuru Mgeni Rasmi, Mkuu wa kikosi cha Ruvu-JKT, Luteni Kanali Charles Mbuge alimkabidhi Mkuu wa Mkoa vifaranga vya kuku wa kienyeji 500 kwa ajili ya vikundi vya kina Mama wa Mkoa wa Pwani katika kuboresha Maisha bora kwa kila Mtanzania. Sherehe hizo ziliburudishwa na vikundi mbalimbali vya sanaa na muziki kutoka kambi ya Ruvu-JKT.
Sambamba na ufungwaji huo Ruvu JKT, sherehe za kuhitimu mafunzo hayo zilijumuisha pia kambi ya Makutopora – Dodoma, Mafinga – Iringa, na Bulombora – Kigoma. Mafunzo hayo yaliyoanza mapema Mwezi Juni, 2015 katika jumla ya kambi 10 za mafunzo za JKT nchini kote, yanategemea kufungwa katika kambi zilizosalia kati ya tarehe 09 (Mgambo – Tanga na Msange – Tabora); tarehe 12 Septemba, 2015 (Kanebwa na Mtabila – Kigoma), na hivyo kuwapa wahitimu muda wa kwenda kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo ya elimu ya juu kote Nchini.


Wahitimu wa Mafunzo kwa Mujibu wa Sheria  wakila kiapo cha utii.

Wahitimu wa Mafunzo kwa Mujibu wa Sheria wakila kiapo cha utii.

Wahitimu wa Mafunzo kwa mujibu wa Sheria wakipita mbele ya mgeni Rasmi

Wahitimu wa Mafunzo kwa mujibu wa Sheria wakipita mbele ya mgeni Rasmi

 

Share:

ANGALIA TAREHE YA KUFUNGUA VYUO VIKUU MWAKA MASOMO 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

TANGAZO

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi linapenda kuwaarifu kwamba mwaka wa masomo 2015/2016 kwa wanafunzi wapya na wanaoendelea katika vyuo vinavyosimamiwa na Baraza utaanza Tarehe 9 Novemba 2015.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger