Saturday, 4 July 2015
Friday, 3 July 2015
Chadema yaibwaga CCM mahakamani
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kiteto. Chama cha Mapinduzi
(CCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imezidi kupata pigo baada ya
Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji 16 vya
mji mdogo wa Mirerani, kwa maelezo kuwa ulikiuka sheria na utaratibu wa
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Hii ni mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja kwa Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi huo ambao uliwaweka madarakani makada wa CCM.
Hii ni mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja kwa Mahakama kutengua matokeo ya uchaguzi huo ambao uliwaweka madarakani makada wa CCM.
Wagombea Urais Wanne (4) CCM washindwa kurejesha Fomu Dodoma
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wagombea 38 kati ya 42 wanaoomba kuteuliwa na CCM kugombea
Urais,wamerejesha fomu hadi saa 10:30 jioni julai 2,2015.Kati ya hao
Wagombea wanne waeshindwa kurejesha fomu.
DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
bonyeza hapo chini kusoma zaidi>>>>>
KING wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
ametengeneza kichwa cha habari nchini Nigeria baada ya kufunguka kuwa
anampenda ‘vibaya’ staa wa filamu nchini humo, Omotola Jalade Ekeinde,
Ijumaa lina stori kamili.
...
DIAMOND AKIRI KUMPENDA OMOTOLA
ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
soma zaidi kwa kubonyeza hapo chini>>>>>
Mwigizaji Bongo, Esha Buheti katika pozi...
ESHA BUHETI AKIRI KUCHEPUKA
WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wtaa wa sinema za Kibongo, Wastara Jum. soma zaidi>>>>
WASTARA ATAJA SABABU ZA KUGOMBEA UBUNGE
USAILI KIDATO CHA NNE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA JESHI LA POLISI-MKOA WA ARUSHA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Liberatus Sabas
Na woinde shizza,arusha.
CHADEMA WAKAMATWA NA MASHINE YA BVR WAKIANDIKISHA WATU USIKU NA KUWALIPA HUKO WILAYANI KAHAMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jeshi la polisi wilayani
kahama mkoani Shinyanga limekamata mashine moja ya BVR ikitumika
kuandikisha wapiga kura saa tatu usiku nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa
wa Nyakato wilayani humo Mayunga Alphonce kupitia CHEDEMA, huku wakiwalipa shilingi 5,000 kila mmoja.
Thursday, 2 July 2015
Whistleblower Bill draws mixed reactions
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The Whistleblower and Witness Protection Bill
received mixed
Kigoma South MP, David Kafulila (NCCR-Mageuzi)
Dar RC Sadick to grace journalist's charity event Ben Pol, G Nako, Shilole, Jackline Wolper to attend
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es salaam Regional Commissioner Said Meck
Sadick is to grace a charity event this weekend to raise funds for
journalists suffering from life threatening diseases including cancer.
Dar es salaam Regional Commissioner Said Meck Sadick
Women will occupy 30 per cent of all leadership positions - govt
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The government is working to ensure that at least
30 per cent of leaders in every sector are women as part of its women
empowerment initiative.
The deputy minister of Lands, Housing and Human Settlements Development, Angela Kairuki
Environmental crimes remain major challenge for Tanzania
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
The government has admitted that environmental
crimes have remained a major challenge in the country despite using more
resources compared to the outcome.
Inspector of Police (IGP) Ernest Mangu