INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Laivu!
Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers
imemfungia kazi na kumnasa sangoma anayedaiwa kuwafanyia mastaa mandigo
akiwemo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ili wang’ae kwa kuwasafishia
nyota aitwaye Khalid Tege.
INNOCENT THE BLOGGER BOY Habari zenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG Kama kawaida yetu kazi yetu ni kuzidi kuwapa raha na furaha wadau wetu na watembeleaji wa blog hii pendwa.