INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma...
Wednesday, 12 November 2014
Monday, 10 November 2014
HAPPY BIRTHDAY BROTHER MDUMA,MUNGU AKUJALIE MIAKA MINGI TELE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 09/10/2014 ambapo brother Mduma alikuwa na furaha ya ajabu baada ya kuzaliwa upya
,na kuamua kufanya sherehe kwa kuwakaribisha...
MPYA:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WALIMU WALIOHAMISHWA MWEZI OCTOBER 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA WAZIRI MKUUTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAATANGAZO:
...
Saturday, 8 November 2014
BREAKING NEWZ:UCHAGUZI MKUU TANZANIA FOOD AND NUTRITION STUDENTS ASSOCIATION(TAFONUSA) UMEMALIZIKA NA KUFANIKIWA KUPATA VIONGOZI WAPYA.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha SOKOINE departiment ya FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY mapema leo hii wamefanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi watakaoongoza chama hicho mwaka wa 2014/2015.
Katika uchaguzi huo kulikuwa na nafasi tano zilizigombaniwa ambazo ni MWENYEKITI,MAKAMU...
Thursday, 6 November 2014
MPYA:MOJA YA KIKAO CHA FOOD SCIENCE AND TECHNLOGY -SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE WAKIJADILI JAMBO

Mapema leo hii kulikuwa na kikao cha vijana wenye heshima ya pekee NCHINI HAPA TANZANIA vijana wa chuo cha KILIMO SOKOINE wanaosomea SAYANSI YA CHAKULA,Kuhusu mamabo yanayowahusu kama darasa,kilichofanyikia departiment ya ENGINEERING mnamo mida ya saa tisa arasili,na kujumuisha wajumbe takribani 98,mwaka...
HAYA HAPA MAJINA YA WAKUUWA MIKOA NA WILAYA WAPYA NA MIKOA/WILAYA WALIZOPELEKWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa mikoa na makatibu wakuu wa wizara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu...
BREAKING NEEWZ:SERIKALI YAONGEZA MAJINA MENGINE MENGI YA KIDATO CHA NNE WATAKAOJIUNGA SPECIAL PROGRAMME UDOM 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,chuo kikuu cha dodoma kimetangaza majina ya wanafunzi wengine watakaojiunga na mafunzo ya ualimu special programme udom mwaka wa masomo 2014/2015,hata hivyo zimebaki takribani siku mbili tu vijana hao waanze masomo yao,hivyo basi MASWAYETU BLOG TEAM tunakuomba...
Wednesday, 5 November 2014
BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA AFYA WATAKAOSOMESHWA BURE 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi watakaosomeshwa bure mwaka wa masomo 2014/2015
Tunaendelea kutoa huduma...
BREAKING NEWEEZ:MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA RASMI 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wadau wapendwa wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOGSPOT mu wazima wa afya?leo tena...
Tuesday, 4 November 2014
HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WOTE KIDATO CHA NNE WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA UALIMU NGAZI YA CHETI,SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
NG'WANZA TEACHERS COLLEGE CHUO PEKEE KINACHOPOKEA WANAFUNZI WA CHETI 2014/2015
Habari yenu wadau wapendwa wa BLOG HII YA MASWAYETU leo tunawaletea taarifa njema kwa watu wote wanaotaka kujiunga na ualimu ngazi ya cheti na wanataka kujiunga,basi Chuo cha NG'WANZA KILICHOPO MASWA SIMIYU ni chuo pekee kinachoendela kupokea wanafunzi wote waliokosa nafasi kujiunga na cheti kwa...
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano
Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura 287 (kwa...
BREAKING NEWZ: ADOPTION OF NATIONAL CURRICULA FOR CERTIFICATE AND ORDINARY DIPLOMA PROGRAMMES

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Please be informed that NACTE is issuing curricula for six programmes namely;
Accountancy (NTA Levels 4 – 6);
Business Administration (NTA Levels 4 – 6);
Community Development (NTA Levels 4 – 6);
Computing and Information Technology (NTA Levels 4 – 6);
Procurement and Supply...
TANGAZO KWA UMMA KUTOKA UDOM :KUWENI MAKINI WATU HAWA,SI WAFANYAKAZI WA UDOM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KWA UMMA
BWANA CHRISANTUS LUCAS MILANZI
Bwana Chrisantus Lucas Milanzi, mzaliwa wa Masasi Mtwara, ambaye picha yake inaonekana hapo juu, si mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodom...
Monday, 3 November 2014
Bad News_MWANAFUNZI AFARIKI AJIKIANDAA KUFANYA MTIHANI WA FORM FOUR LEO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari
tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Simiyu ni kwamba mwanafunzi
aliyefahamika kwa jina la Yunis Festo aliyekuwa anasoma kidato cha nne
katika shule ya sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika kijiji cha Bulima
wilaya ya Busega amefariki dunia .
Yunis
Festo...
Saturday, 1 November 2014
MASWAYETU BLOG TEAM INAKUTAKIENI MITIHANI MEMA KIDATO CHA NNE 2014/2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jumatatu
ijayo tarehe 03/11/2014 wanafunzi wa kidato cha nne wanakwenda kuanza
mitihani yao ya kuhitimu kidato cha nne. Hii ni hatua muhimu sana
kwenye maisha yao kwani ndio itapelekea ndoto zao nyingine kuwa kweli.
Kama mwananfunzi ana ndoto ya kuwa injinia, rubani, daktari au mwalimu,
mitihani hii ni muhimu kwake kufaulu ili kuweza kuendelea na masomo
yako.
Hapa...