INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi
karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha
kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wak...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake,
nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini,
wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia
kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine
kilichopo mjini morogoro ambao wanaendelea na mitihani yao ya mwisho wa muhula
wa pili(2ND SEMI ESTER)
Wamekutwa na kamera yetu ilikuwa ikipita maeneo mbalimbali chuoni hapo
kwa ajili ya kuangalia hali ya wanafunzi hao wawapo...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaidamaswayetu blog inakupa vichwa vya habari vya magazeti
yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti
mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa
za mbele za magazeti ya leo.
...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza
jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa
vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mambo
juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika
ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora
Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji zilizopo
mahakamani.
Wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO KWA UMMA
TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA, LINAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAZWA KWA
KUTUMIA UJUMBE MFUPI WA MANENO (SMS) KATIKA SIMU ZA VIGANJANI NA MTANDAO
...