Lema alizaliwa mnamo tarehe 05/06/1989 na kufariki tarehe 30/06/2014 Mungu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!!!
Daniel
Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria
katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha
University College - RUCO)...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
vikuku
ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama kuvaa
cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini
puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi??
kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya,...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KOCHA
Mkuu mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alianza kazi yake kwa
mkwara mzito huku kila aliyehudhuria akionyesha kutikisa kichwa
kuikubal...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Next level! Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa
anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika
historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television (BET) 2014 huku
akiwatia kiwewe mastaa wakubwa kama Cornell Iral Haynes ‘Nelly’,
Christopher Maurice...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es Salaam. Mvutano mpya umeibuka
baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvaa Msajili wa
Vyama vya Siasa, Jaji...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dodoma.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni
tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki
ng'ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
Lowassa alisema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,324.Sekretarieti
ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia Watanzania wenye sifa na
uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 1,324 ambazo ni kwa ajili ya
waajiri mbalimbali Nchini.Katibu wa Sekretarieti
ya Ajira Bw. Xavier Daudi...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: Waandishi Wetu
AMA kweli majanga yakimkuta binadamu hayapigi hodi!
Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta
ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha wa Oparesheni
Fichua Maovu (OFM) kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MBALI
na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe
kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya
kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee
wa Upako’ (pichani) naye ameibuka na kucharukia suala hilohilo.
Mchungaji...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Suarez amuomba msamaha Chiellini kwa mara ya kwanza
Mshambulizi
wa Uruguay na Liverpool ya Uingereza Luiz Suarez sasa amemuomba msamaha
mlinzi wa Italia Giorgio Chellinii kufuatia tukio la kumng'ata timu
hizo zilipokuwa zicheza mechi ya mwisho ya makundi huko...