Friday, 27 June 2014

MAMA AMUUNGUZA MTOTO WAKE WAKUMZAA MDOMO JIJINI DAR ES SALAAM

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Asha (31) ambaye ni mke wa mtu, amejikuta akiachika katika ndoa yake baada ya kudaiwa kumuunguza midomo mwanaye, huko Yombo Buza, jijini Dar, Juni 24 mwaka huu.
Paulina, akiwa na majeraha ya moto midomoni.
Share:

MARCIO MAXIMO:KOCHA WA YANGA AWA HABARI YA MJINI,KILA KONA MAXIMO SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Kocha Marcio Maximo.
WAKATI Gazeti la Championi linaanza kuripoti juu ya ujio wa Kocha Marcio Maximo mnamo Mei 24, ambapo pia ndiyo lilikuwa gazeti la kwanza kabisa kuripoti juu ya Mbrazili huyo kuja nchini kuinoa Yanga, ilionekana kama ni ndoto, hatimaye neno limetimia.
Share:

MAHABUSU GEITA WAVUA NGUO KUGOMEA HALA MBAYA GEREZANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mahabusu Mkoani Geita leo wameamua kuvua nguo,wakidai haki zao,uamuzi huo uliibua tafrani mpaka jeshi la Polisi kuingilia kati.
Share:

WEREMA AFUNGUKA:ADAI NINA WATOTO ALAFU NATUKANWA?,KASHFA YAINGIA SURA MPYA SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                         
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa. Jana asubuhi baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan ‘Zungu’, aliwakuta Werema na Kafulila wakiendeleza mzozo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
Share:

NECTA YATANGAZA,ALAMA ZA MITIHANI YA MOCK SASA KUTUMIKA KAMA CONTINUOS ASSESMENT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MATOKEO ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30 ya Alama Endelevu na asilimia 70 ni mchango wa Alama za Mtihani wa Taifa.
Share:

VIDEO:ANGALIA JINSI SUAREZ ALIVYOFANYA TUKIO LA KUMN'GATA MCHEZAJI WA ITALIA UWANJANI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

PENNY, WEMA USO KWA USO-STUDIO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake.
Share:

NISHA AWAJIBU WANAOMWITA MCHAWI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYStori: Gladness Mallya
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.
Share:

MZEE WA KANISA AKURUPUSHWA GESTI-BAADA YA KUFUMANIWA NA BINTI WA KIZAI KIPYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi wa filamu za Kibongo, Debora Jacob, Ijumaa lina kisanga cha aina yake.
Share:

WABUNGE WANUKA RUSHWA-DODOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
bunge2 c927e

WAKATI muswada wa kupunguza misamaha ya kodi unatarajia kujadiliwa wakati wowote, kuna hofu kwamba baadhi ya wabunge wamehongwa na wafanyabiashara waliopiga kambi mjini hapa ili kuukwamisha.
Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

1_fbc8c.jpg
Share:

Thursday, 26 June 2014

SUAREZ AADHIBIWA MIEZI MINNE na MECHI TISA NJE,BAADA YA KUMN'GATA MCHEZAJI MMWENZAKE


suarez
Habari za hivi punde zinasema kuwa FIFA imemuadhibu Suarez kwa kumfungia mechi tisa
Share:

MAZISHI YA SISTA ALIEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI UBUNGO YAFANYIKA ANGALIA PICHA ZOTE HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

USAJILI MAN UNITED:HERRERA ATUA MAN UNITED, AKABIDHIWA JEZI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

KIUNGO Ander Herrera amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kwenda Manchester United akitokea Athletic Bilbao.
Share:

DOWNLOA WIMBO MPYA WA LINA NA HADIJA- MKE MENZANGU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND AKIIMBA TAARAB

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD>>
Share:

NGUMI BUNGENI:JAJI WEREMA AMFANANISHA MBUNGE KAFULILA NA TUMBILI TAFRANI YAIBUKA, MAWAZIRI WAINGILIA KATI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbili.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger