
Nigeria yaridhika na sare tasa dhidi ya Iran
Timu ya Iran na Nigeria zilitoka
sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba,
kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.
Timu hiyo ya Carlos Queiroz ilionekana kuwa ngumu kushindwa tangu mwanzoni.
Kaimu
Meneja wa Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mtera, Mhandisi Steven Mfumbusa
akimweleza jambo Naibu Waziri Nishati na Madini anayeshughulikia
Nishati Mhe. Charles Kitwanga alipotembelea Bwawa hilo ili kuangalia
mwenendo wa maji katika Bwawa hilo .







